Loeli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 997
- 763
- Thread starter
- #141
Asante kuna jambo la msingi kwako. Nitaenda edit post. Ubarikiwe mno.Nakubaliana umri na hata mazingira yana mchango katika misimamo ya mtu katika mahusiano. Ila principle kuu ya mahusiano (compromising personal interests to a certain degree to create harmony and collective interest) haibadiliki. Hata hivyo, huwezi kuvipata au kudilute misimamo yako yote. Kikubwa unahitaji kuonyesha upo wiling kusikiliza na kushauriana.
Hujatoa nafasi hii katika mwito wako. Kumbuka first appearance conveys the first impression.