Recent content by dukebrain

  1. D

    Kwa nini UN leo inawatetea FDLR wakati jana iliwashitaki? Kama sio kutuchezea dili dali ...

    Is FDLR-FOCA a Terrorist Organization? That is not question. UK and France have differing perspective on this issue and thta's why UK supports Kagame while France supports FDLR (waasi) so is the UN (kigeugeu) lakini vita inapigwa Congo, how come!!!? Tuwe tunajiuliza ni kwa nini tunagombanishwa...
  2. D

    Reason Why France, Tanzania, SA are fighting M23...

    Is FDLR-FOCA a Terrorist Organization? That is not question. Rwandan argues that FDLR is a terrorist group, classified as such by the United Nations (UN) Security Council and Western governments. This is partly true. The UN Security Council never classified FDLR as a terrorist group. However...
  3. D

    Usanii at its best...please stop it Dr. Mwakyembe! This is more than ridiculous!

    Absolutely made in Tanzania ... U r so blind that you don't see no point in here!!!? R u a boy, a family man, a junk, an English applauder, or what r u!!!? Yes it's english, but there's some sense in it! Being " blind" themselves, they may not be aware of how they mislead others ...
  4. D

    TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

    "... bidhaa 48 ambazo hazitakiwi kuwepo sokoni kutokana na muda wa kuitumia nembo ya kampuni hiyo katika bidhaa zao kumalizika na wahusika kushindwa kuwasilisha bidhaa zao kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuruhusiwa tena." ... BIDHAA HAZINA SHIDA TATIZO TBS WANATAKA WALIPWE FEES ZA NEMBO SASA...
  5. D

    Kikao cha CCM technical: Wazee wa kimasai wamkatalia Ole Medeye na CCM kuwatumia kisiasa

    Hao wazee wa kimasai wameboa sana! Kwani walinyanganywa fimbo!? Mtu anakuja kuwaletea mambo ya ukabila halafu mnazidi kumsikiliza? Aaaah! Masai nyororo kabisa, afadhali ya makonde chi ntu ... Tuamke jamani kabla hawajaanza kutofautisha na jinsia maana udini wameleta, ukabila ndo kama hivi...
  6. D

    Mkanda mzima jinsi Polisi walivyohangaika na Joshua Nassari tokea JKIA hadi nyumbani kwake...

    ukimtisha sana mwoga anakuwa jasiri, halafu vita yake haiishi mpaka adabu ipatikane . . . Sasa ccm kwa ujinga wao na hivi hawaoni mbele nadhani wanatafuta kuadabishwa muda si mwingi ...
  7. D

    Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    Its gud that we all recall about Mwl. (THE REAL JK) Julius Kambarage Nyerere :) HE did his homework, he was a LEADER in-deed. He will ALWAYS be remembered with so much respect. Haters (vibaraka) wa serikali iliyopo madarakani ambao walitamani kutokuwepo kwa uwepo wa Mwl JK ili wafanye...
  8. D

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    I like your slogan ... I think of Egypt for showing how effective is people's power ... Walichoka japo maisha yao ni bora mara dufu ya wadanganyika ... My take, kwa hoja iliyoletwa, inawezekana hawezi kutaja jina lake kwa sababu ni ngumu hakimu kusema yeye ndiyo mkosaji kwenye anayotakiwa kutoa...
  9. D

    Polisi waua tena Morogoro akiwa chini ya ulinzi wa Polisi

    A quote from OBAMA, the guest of kikwete ... " ... REAL DEMOCRACY IS LISTENING TO THE VOICE OF SUPPRESSED MAJORITY AND THE OPPOSITION ..." hilo nalo ni jungu? usiweke akili pembeni kutumikia tumbo, njaa ipo siku zote, na ni vizuri kujua kesho utakula vipi kwa amani na furaha na jamii...
  10. D

    Wamarekani Wamshukia Obama Kuhusu Kikwete, Wamwambia Asije Tanzania

    With the current intimidation from the government which suppress DEMOCRACY and such posts from America and on such notable newspapers, Obama's visit will unveil the hidden truth about Tanzania in light of DEMOCRACY ... SO if few/leaders think of enlarging their pockets in the name of cheap...
  11. D

    Kikwete: Bagamoyo Wafidiwe kwa kujengewa nyumba

    Unakwenda mbali, MABWEPANDE unapajua!!!? Wamerudi tena na fidia bado haijaeleweka, kwenye TV wametangaza kiwanja 20 by 20 i.e 400sqm TZS 4mil. ila kwenye mkutano hawajasema fidia ni kiasi gani ... Ila bagamoyo fidia ni nyumba, Raisi kasema, nani anabisha!!!? .......
  12. D

    Anayekiua CCM si mwingine bali mwenyekiti wake wa taifa [Ndiyo/Hapana]

    UHURU tumepewa na MUNGU. huyo jk ni nani mbele ya Muumba? Hana tofauti na binadamu mwingine yeyote zaidi ya kuwa ataulizwa kwa damu zinazomwagika chini ya uongozi wake = Halafu jiulize, ni watanzania wangapi walimchagua huyo kuwa raisi!!!? Inawezekana alikupa uhuru kwa sababu MUNGU kwako siyo...
  13. D

    JK ataja sifa za viongozi waliofilisika kifikra

    hata haelewi unachosema. Nafikiri hii ni aina nyingine ya mipasho ... Afuate ushauri aliopewa na OBAMA kuhusu Demokrasia ya kweli mbali na hapo hakuna kingine zaidi ya kupiga duru muda uende serikali ibadilike ...
  14. D

    SIASA au BIASHARA PRECISION AIR ITATUUA NI JANGA LA TAIFA-IFUNGWE

    Jaribu kuulizia zile fedha walizolipia wadanganyika wengi wakinunua Precision hisa, je kuna dividend yoyote ishalipwa? Au ndo biashara ikiwa mbovu hakuna dividend!? Au ndo swala hilo kwa sasa haliwezi kuzungumziwa? Au ilikuwa usanii ili kujiandaa kuleta kampuni nyingine ili kukwepa kodi? Yani...
  15. D

    King Mswati III in Dar...

    Utamaduni wa mtanzania ni nini (sio upi, kwa sababu haupo, kama unajulikana basi watakuwa wanakumbuka kitu ila nani afuate utamaduni wa nani? Zaidi ya kuwaza jamaa ataacha kiasi gani hamna jingine ...mmasai kivyake, mmakonde, mndengereko, mjita, mmandengo, mngoni, muhehe, mfipa 'mtoto wa...
Back
Top Bottom