Recent content by Duduwasha

 1. Duduwasha

  Nimeona katika ulimwengu wa Roho

  Vipi corona?
 2. Duduwasha

  TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

  Gwajima atasikia raha akisikia
 3. Duduwasha

  TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

  Naona jeshi liningia uraiani ndio mwanzo wa raia nao kuja kuingia jeshini.... raia wataanza na ile meli yetu mbovu
 4. Duduwasha

  Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

  Usha confirmed kuwa wewe ni ndimu. Wadau thread za wapumbavu ni za kuwaignore tu. Ndio wata growing ki akili.
 5. Duduwasha

  Nani aliyemuumba Mungu?

  Mkuu nenda hospital kuna kiuvimbe kichwani Kwako.. uvimbe ukikuondoka akili zako zitakuwa sawa... yaani utakuwa unahakiki kabla hujazungumza jambo...
 6. Duduwasha

  Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

  Huo ndio upumbavu wako use brain before hujaamua cha kufanya?
 7. Duduwasha

  Haya yamemkuta Freeman Mbowe kwa muda wa miaka 5 tu

  Alimla Wema?
 8. Duduwasha

  Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

  Acha ukuda hebu nenda hizo hospital ukashuhudie acheni siasa za kipumbavu huku ndugu zetu wakiangamie. Hivi balozi wa marekani akiomba nchini kwao vipimo apime watanzania laki moja tu mahospitalini atapata hesabu gani? Wadhani nchi yetu kuacha kutoa taarifa wamependa?
 9. Duduwasha

  Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

  Weka na picha ya babako pia..
 10. Duduwasha

  Kwa wahenga tu: Kwanini watu wengi wenye roho nzuri huwa na maisha magumu au ya kawaida tu?

  Hata mimi imenitokea hadi nikabadilisha namba ni sister yangu pekee ndio huniokoa nami pia nampiga tafu hata nikiwa na Hali mbaya... yaani kuna watu wapo tu kwa kusaidiwa ndio sababu kubwa... kwao hawajui kitu kusaidia utapigwa chenga za Messi hadi akili ikukae sawa.
 11. Duduwasha

  Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

  Ndio unalala tena
 12. Duduwasha

  INAUZWA Nauza Salon ya Kike, Buguruni - Dar es Salaam

  Hiyo michirizi picha ya chini ni Shanga?
 13. Duduwasha

  COVID-19 VIDEO: Kweli tuna majanga lakini hebu tucheke kidogo

  So hapo ulipo unacheka sana... hongera zako... its like futuhi comedy tu haichekeshi
 14. Duduwasha

  Kenya yaongeza Masharti katika mipaka yake na Tanzania, huvuki bila kupata Majibu ya Vipimo vya Corona

  Nchi za jirani zinatumiwa na mabeberu watanzania hatuna corona ni vipimo tu walivyotuletea ndio vidanganyifu.
Top Bottom