Utafiti usio rasmi: Majina ya Wasichana/Wanawake na sifa zake katika mapenzi

We juba kweli mpiga ramli mbona majina yetu ya kibongo hayapo fatuma latifa hadija asha chausiku,,,,acha viroba
 
1::Nancy -Muongo
2::Julieth -Kicheche
3::Mary -Anapenda waume wa kitambo kirefu
4: Caroline-Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5:: Hellen- Anabusara anapozugumza na mpenzi wake
6::Rose-Anapenda wanaume wenye pesa
7::Eunice- Hapendi ndugu wa mume wake
8::Agness-Anaupendo wa dhati na akipenda amependa kweli
9::Eveline -Hana vigezo vya mwanaume anaemtaka
10:: Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi anajijali pekee kuliko mpenzi
11::Mariam-Anapenda kuwa kuwa rafiki na mpenz wake
12::Loveness-Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13::Monica-Anajivunia mpenzi wake popote
14::Mellisa-Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hata kama amekereka
15::Elizabeth-Hapendi kujihusisha na mahusiano
16::Emy-mtaalamu wakutongozea marafiki zao
17::Fabiola -Anapenda sifa za wanaume
18::Theresia-Mvumilivu ktk mapenzi
19::Eve -Hana mwanaume maalumu
20::Hilda -Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21::Jackline -Ni mlipiza kisasi
22::Lydia -Anapenda mtu ili apate kitu fulani
23::Carol -Nimuongo kupitiliza na still anaaminika
24::Josephine -Hataki mpenzi but anataka mume
25::Grace -Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja ktk hao wengi
26::Anna -Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27:'Beatrice -Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28::Rehema -Anapenda waume za watu
29:: Brenda -Akipenda amependa kweli
30::Frida-Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenz wake na anaangalia tu
31:'Ruth -Ni msaliti kwenye mahusiano
32::Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
33::Neema -Akiachwa mara moja anakata tamaa
34::Aneth -Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
35::Esther -Anaamini kuwa kwenye mahusiano yakimapenzi ni dhambi
36::Violeth -Mkorofi
37:: Sylvia -Mkimya sana awapo na mpenzi wake
38::Christine -Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake
39::Julieth -Ana aibu sana kwenye mapenzi
40::Magreth -Anapenda sana ila anaumizwa sana
HAWA NI WATANZANIA AU WAZUNGU, MAANA MAJINA YAKO YOTE SIJAONA HATA JINA LA KISWAHILI NA KIBANTU KWA UJUMLA. WAAFRIKA BWANA TUMEDUMAA KWAKWELI KWANINI TUSIDUMISHE MAJINA YETU. haya majina hayatuhusu.
 
Mkuu inaonekana wewe umekubuhu ktk ku-bet, tafuta kazi ya kueleweka achana na ku-bet. angalia imeshaharibu akili yako hadi sasa unakuja na 'vitu vya ahera'. ILA MICHEZO YA KU-BET HAIJAWAHI KUMWACHA MTU SALAMA.
 
1::Nancy -Muongo
2::Julieth -Kicheche
3::Mary -Anapenda waume wa kitambo kirefu
4: Caroline-Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5:: Hellen- Anabusara anapozugumza na mpenzi wake
6::Rose-Anapenda wanaume wenye pesa
7::Eunice- Hapendi ndugu wa mume wake
8::Agness-Anaupendo wa dhati na akipenda amependa kweli
9::Eveline -Hana vigezo vya mwanaume anaemtaka
10:: Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi anajijali pekee kuliko mpenzi
11::Mariam-Anapenda kuwa kuwa rafiki na mpenz wake
12::Loveness-Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13::Monica-Anajivunia mpenzi wake popote
14::Mellisa-Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hata kama amekereka
15::Elizabeth-Hapendi kujihusisha na mahusiano
16::Emy-mtaalamu wakutongozea marafiki zao
17::Fabiola -Anapenda sifa za wanaume
18::Theresia-Mvumilivu ktk mapenzi
19::Eve -Hana mwanaume maalumu
20::Hilda -Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21::Jackline -Ni mlipiza kisasi
22::Lydia -Anapenda mtu ili apate kitu fulani
23::Carol -Nimuongo kupitiliza na still anaaminika
24::Josephine -Hataki mpenzi but anataka mume
25::Grace -Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja ktk hao wengi
26::Anna -Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27:'Beatrice -Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28::Rehema -Anapenda waume za watu
29:: Brenda -Akipenda amependa kweli
30::Frida-Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenz wake na anaangalia tu
31:'Ruth -Ni msaliti kwenye mahusiano
32::Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
33::Neema -Akiachwa mara moja anakata tamaa
34::Aneth -Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
35::Esther -Anaamini kuwa kwenye mahusiano yakimapenzi ni dhambi
36::Violeth -Mkorofi
37:: Sylvia -Mkimya sana awapo na mpenzi wake
38::Christine -Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake
39::Julieth -Ana aibu sana kwenye mapenzi
40::Magreth -Anapenda sana ila anaumizwa sana
Dada yangu Esther anapenda had anahonga mwanaume, sorry kumbe siyo utafiti rasmi
 
Anna, Rose, Sylivia, Agness na Maria. Yan sifa zao umepatia kabsa make hao wote n ma ex wangu. Na Rachel pia
 
Back
Top Bottom