Recent content by dsm-confidential

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

    Cheki haya matusi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

    Jux ndio muanzilishi wa kampeni ya 'Unfollow Davido' kule instagram. Jana SAA NNE usiku ndio alipost kampeni hiyo ikiwa ni dakika 20 tangu Davido a post ile sentensi. Watu wakaanzia pale na hatimaye hali ipo kama ilivyo. Sasa ukimu-unfollow davido unapata faida gani..? Au unahisi unamkomesha...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Vita iliyoanza Jana saa 3 usiku baada ya idris sultan wa Tanzania kuchukua ushindi kule kwa madiba hali iliyopelekea Davido kupost post ya utata kule 'twita' iliyotafsiriwa kama kejeli kwa Watanzania. Davido alipost sentensi 'N they cheat again lol', post hiyo ilipelekea Diamond kureact kujibu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kasulu

    Kuelekea nyumbani manyovu via heru juu..
  5. D

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kuwajua viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao ESCROW

    Tumia akili ya kawaida na wewe ndugu yangu. Hivi kwa mile kibano walichopata serikali kwa ule mjadala bungeni..kama kuna mpinzani angekuwepo unahisi wasingetaja ili kupunguza kasi ya kibano? Wao wana orodha yote ya wakwapuaji ndo maana hadi kesho hutaisikia orodha. Tumia common sense na wewe bhana..
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe awaacha kwenye mataa watu wake Vingunguti

    Kwa hiyo tufanyeje?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Wewe MBWINDE kweli kweli.. Chongo unamtukana kengeza..NDAGUUUUUU..!!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Mngese sana wewe..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya na Ndikumana wanaswa "LIVE" Airport

    Binadamu mwenzako Leo unamnyooshea kidole na kumwita shetani? Kwa usafi gani ulionao? Kama ni kuzini we huzini? Husemi uongo? Mjinga kweli wewe..soma vitabu vya dini na ukome kuhukumu kwa makosa ambayo na wewe unayafanya pia..au kwa kuwa we we hatukuoni?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akwepa kukabili kifua cha mh. Mwijage leo

    Uozo mtupu...bullshit
  11. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma:Siri ya utetezi wa watuhumiwa na kugoma kwao kuwajibika

    Bora wewe kuliko kibaraka Pasco
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Mleta mada huo ndo upuuzi tu uliouona na ukakuumiza.? mengine yanayotuletea umasikini na kutufanya tuishi bila madawa na madawati huyaoni eti? We kweli shwaini...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    Serikali inajua sana kucheza na akili zetu watanga na nyika..naluapia Leo hakuna atakayejiuzulu zaid ya kukanusha na kubaki kwenye nafasi zao na kula bata
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Nauona ukweli katika Uzi huu .. Ukiangalia kwa jicho LA tatu ukweli nauona.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Kilaini ametuangusha kondoo wake
Back
Top Bottom