Tundu Lissu akwepa kukabili kifua cha mh. Mwijage leo

montana zayumba

JF-Expert Member
Nov 9, 2014
225
170
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
 
Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,793
1,195

ujinga wa kitanzania
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660
2,000
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
Natumaini ukizeeka utaokota makopo au kuwa mchawi.
 
montana zayumba

JF-Expert Member
Nov 9, 2014
225
170
Mmezoea kupotosha watu, kwa hoja za ambazo hazipo,lkn kudanganya watu wenye akili, ndio mwisho, msitumie Uongo kujiimarisha Kisiasa.
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Wabunge wengi wa CCM wanawatetea mawaziri kwamba hawana hatia ikiwemo waziri mkuu, Mhongo na naibu wake ila sijaona hata mmoja akimtetea Werema inamaana wamemuacha mafuriko yamkumbe? au ndo kafara yenyewe hiyo, kila anayesimama anawatetea hao na Lusinde waliyemtegemea na kumpa dk 30 yeye ndo ameweka wazi kabisa wa kuulizwa ni mwanasheria mkuu alipata wapi kibali cha kuhalalisha hayo malipo ila Lusinde anakubali kuwa sehemu ya pesa ni za uma! hii nchi bwana
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,691
2,000
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
itarahamwe
 
lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894

Cheki hili tutusa, Ingambire Imbecile na stupid kabisa, unatetea wezi na mafisadi wakati shule zetu hazina maabara, hospitali hazina dawa, wakulima wetu mazao yao yanaozea shambani na ghalani kwa kukosa soko na kunyimwa kuuza nje ya nchi, wakulima na wafugaji wanauwana kwa serikali kukosa dira na kuchochea mgogoro wa ardhi. Afu unakuja hapa kuhara na kutapika mashudu na mataputapu uliyolishwa na mabwana zako.

Waambie hao mafisadi, leo wanaweza kutumia wingi wao kunajisi bunge letu tukufu, tena wanaweza funika kombe mwanaharamu apite lakini haina maana tutasahau bali iko siku watalipa madhila yote wanayotusababishia, na siku hiyo naiona haiko mbali, iko karibu kuliko unavyofikiri, mtaa wa babbeli unaenda kuanguka sasa.

Ole wenu ole wenu, siku hiyo mafisadi wote na watetesi wao kama wewe mleta mada mtahukumiwa sawasawa na kipimo kile kile mlichotutesa na kutuua kwa kutusababbishia dawa kutokuwepo hospitalini
 
chetume

Senior Member
Oct 8, 2014
106
195
Mtu kama wewe igekua china na uzi wako wa kngese hapa nikunyongwa tu yani unatetea majizi kwa mbwebwe wakati wa tanzania wanapoteza maisha kila kukicha kwa kukosa madawa maospitalin wazee wetu kule kijijini wanakimbizwa kwa ajili ya michango ya mahabari kila kukicha
 
Gwangambo

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
3,642
1,225
montana zayumba, wewe ni kiazi, you are not oriented to time, place and person.
 
Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,679
1,250
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
wewe ni kinda tu huna hoja labda utuambie unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili?
 
MTENGETI

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,379
2,000
K##?#@ yaani daah kanuni zinabana humu lkn kwa kifupi kichwan umebeba kinyesi huna adabu kabisa
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
 
montana zayumba

JF-Expert Member
Nov 9, 2014
225
170
Cheki hili tutusa, Ingambire Imbecile na stupid kabisa, unatetea wezi na mafisadi wakati shule zetu hazina maabara, hospitali hazina dawa, wakulima wetu mazao yao yanaozea shambani na ghalani kwa kukosa soko na kunyimwa kuuza nje ya nchi, wakulima na wafugaji wanauwana kwa serikali kukosa dira na kuchochea mgogoro wa ardhi. Afu unakuja hapa kuhara na kutapika mashudu na mataputapu uliyolishwa na mabwana zako.

Waambie hao mafisadi, leo wanaweza kutumia wingi wao kunajisi bunge letu tukufu, tena wanaweza funika kombe mwanaharamu apite lakini haina maana tutasahau bali iko siku watalipa madhila yote wanayotusababishia, na siku hiyo naiona haiko mbali, iko karibu kuliko unavyofikiri, mtaa wa babbeli unaenda kuanguka sasa.

Ole wenu ole wenu, siku hiyo mafisadi wote na watetesi wao kama wewe mleta mada mtahukumiwa sawasawa na kipimo kile kile mlichotutesa na kutuua kwa kutusababbishia dawa kutokuwepo hospitalini
Unaonekana unaelimu naaunauwezo, lkn umefunikwa na Mazingira yanayo kuzunguka,ninakubali kwamba kunaubadhilifu mkubwa umefanyika kitu ambacho nakilaani,hoja yangu
1.Uongo na ukweli, vitenganishwe.
2.Hukumu sahihi, ichukuliwe.
3.Swala la 2015 lisiingizwe ktk Jambo hili, BILA sababu za msingi.
NB:TWENDE NA HOJA BADALA YA KUTUKANANA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom