SAVERA
Senior Member
- Jun 25, 2013
- 114
- 43
Leo kulikuwa na ujio wa Mwenyekiti wa CDM Taifa Mbowe Vingunguti na Buguruni,wiki hii nzima jamaa wanatupigia kelele za matangazo ya kuja Mbowe.
Leo jamaa wamefunga mziki uwanjani wameweka jukwaa wamekodi matarumbeta na ngoma. Wamejaa Tabata na mapikipiki na magari ya mabendera kibao,na wengine wamejaa Buguruni shell. Kufika saa nane wakaambiwa Mbowe haji tena. Ni aibu ya mwaka jamaa wamenywea hawana la kuwaambia watu waliojaa.