Recent content by Dsecky

  1. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Tusimshangae jmn kwa jibu alilotoa.... I think we all know kwamba ukweli unauma so yupo kwenye maumivu
  2. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Kenyans are too proud jishusheni kidogo ili mpate kukubalika
  3. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Amefanya kukujibu tu swali lako ulilomuuliza.....
  4. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Kama uchumi wa nchi upo juu na wa watu upo chini kuna faida gani[emoji2210][emoji2210][emoji2210]maana ukilinganisha kwetu na kwenu slum dwellers kwenu wapo wng sana kuliko kwetu
  5. Dsecky

    Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore

    Watanzania wenzagu tuache kulalamika na kusema viongozi wetu. Maana hapa hapa nchini tunaona majirani ndugu na rafiki zetu wakiendelea na kutajirika huku wengine tukibaki tunalalamika. Cha muhimu kila mtu atumie vizuri hizi fursa zilizopo nchini kwa sasa, kujiendeleza na kama huzijui fursa hizo...
  6. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Very wise person I admire ur brains[emoji111][emoji111]
  7. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Bora umesema we mkenya mwenzao labda watakuelewa Ila nadhani mpo so insecure
  8. Dsecky

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  9. Dsecky

    Petroleum engineering

    Okay thanks nimekuelewa
  10. Dsecky

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yaniiii sikutojua kutumia hela za nchi vzr maana hako ka bridge sio poa
  11. Dsecky

    Petroleum engineering

    Oo vizuri ikoje ni ngumu in terms of studies hata ajira ni rahisi kupata au
  12. Dsecky

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Madikteta ni watu ambao huwa wanataka maendeleo haraka wanakuwa wamechoka kuona watu hawatumii resources vizuri......wng huwa wanawazia mema mataifa yao mfano mzuri hitler
  13. Dsecky

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kaongea la maana sana[emoji122][emoji122]
  14. Dsecky

    Petroleum engineering

    Sorry ukitaka kuwa petroleum engineering unaweza kuchukua PGM a level au ni lazima kuchukua PCM.
Back
Top Bottom