Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,957
- 103,308
Natamani mjomba angekuwa anapitia hiku kwenye FORUM ANASOMA KIDGO THEN ANATUMIA MAWAZO HAYO
Yupo humu humu sana.
Natamani mjomba angekuwa anapitia hiku kwenye FORUM ANASOMA KIDGO THEN ANATUMIA MAWAZO HAYO
What is a provisional tax return?Tatizo ulivo mpumbavu,wewe ndio unaetaka tuende katika uelekeo huo. Alafu unataka kutuaminisha JPM ndo ana vision hiyo, kwa kuuwa biashara kwa hizi kodi zao unazotakiwa kulipa kutoka kwenye mtaji na sio faida?
Mmmmmhmabarabara
Tuwe wakweli ndoto ya kuwa kama Singapore ni nzuri lakini haiko realistic, ni ndiyo ya mwendawazimu. Ndoto ya ukweli ingekuwa tunasema "Tunataka tuipite Kenya kiuchumi. Hiyo ndiyo saizi yetu.
Bajeti ya Kenya ya mwaka 2020/21 kwa Tsh ni 64 Trilion wakati Tanzania ni Tsh 31 Trillion. Kwa hiyo hatufiki hata 50% ya uchumi wa Kenya. Bajeti ya nchi zote 5 yaani Uganda, Tanzania, Burundi, South Sudan na Rwanda ni Tsh 63.5 Trilion kwa maana kuwa Kenya ni kubwa kuliko nchi zingine zote za East Africa.
Haya mapicha picha ya SGR, Barabara na flyover yanayorushwa kwenye TV na magazeti ya Tanzania kumsifia Magufuli ni USHAMBA tu. Muulize mtu yeyote aliyetembelea Kenya ndani ya miaka 3 hii akuamambie ma flyover na barabara za hadhi ya juu zilizojengwa.
Na hutosikia Uhuru Kenyatta akihangaika kukusaidia au Kusifiwa[
/QUOTE]Upimaji wa uchumi umebadilika kutoka GNP au GDP na kwenda kwa PPP.
PPP ndio kipimo sawa sawa kwa sababu kina pima pesa uliyo kuwa nayo inaweza kununua kiasi gani cha bidhaa au huduma ( products or services).
Kwa kipimo hicho bajeti yao Kenya ni kama 70 Tanzania / 100 Kenya. Yaani wanatuzidi kwa kama asili mia 30.
Kwa kipimo cha Utajiri wa serikali sisi serikali yetu ni Tajiri ( uwezo wa kutumia pesa kibajeti )kwa kuwa hatuna madeni makubwa sana kama wao.
Wao wanatumia kiwango kikubwa cha makusanyo kulipa madeni.
Madeni hayo yanatofautiana kidogo sana na makusanyo yao ya kodi.
Upumbavu mtupu.Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore wana zaidi ya $60,000.
Kama Rais Dkt. Magufuli anavyofanya, walianza na elimu ya bure na kuwekeza sana kwenye vyuo vya ufundi. Wakahakikisha wanapata wataalan wa kutosha. Waliekeza sana kwenye miundombinu ya umeme, mabarabara, bandari, viwanja vya ndege, technologia ya mawasiliano etc, walichochea sekta kama za utalii na huduma nyingine. Waliekeza sana kwenye afya hadi kuvutia medical tourism. Walipambana na rushwa na kutoa adhabu kali sana hasa death penalty kwa wahujumu uchumi.
Wali sacrifice bla bla za kisiasa na ku focus kwenye maendeleo. Mwandishi mmoja anasema:-
"Singapore's model of sacrificing freedom for business is highly controversial and heavily debated. Regardless of philosophy, though, its effectiveness is undeniable."
Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Tukifanikiwa hapo Tanzania ni 'a new Singapore in the making.'
Tumuunge mkono JPM na wale ambao wamepewa majukumu ya kumshauri na kumsaidia wajaribu kujielimisha sana na kuweka pembeni maslahi binafsi.
tartedNikufundishe kidogo mkuu. Singapore imefika ilipo kutokana na wawekezaji kutoka nje. Jitahidi kusoma na kufanya research!
DiscussTanzania is not Singapore, and Singapore is not Tanzania
Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore wana zaidi ya $60,000.
Kama Rais Dkt. Magufuli anavyofanya, walianza na elimu ya bure na kuwekeza sana kwenye vyuo vya ufundi. Wakahakikisha wanapata wataalan wa kutosha. Waliekeza sana kwenye miundombinu ya umeme, mabarabara, bandari, viwanja vya ndege, technologia ya mawasiliano etc, walichochea sekta kama za utalii na huduma nyingine. Waliekeza sana kwenye afya hadi kuvutia medical tourism. Walipambana na rushwa na kutoa adhabu kali sana hasa death penalty kwa wahujumu uchumi.
Wali sacrifice bla bla za kisiasa na ku focus kwenye maendeleo. Mwandishi mmoja anasema:-
"Singapore's model of sacrificing freedom for business is highly controversial and heavily debated. Regardless of philosophy, though, its effectiveness is undeniable."
Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Tukifanikiwa hapo Tanzania ni 'a new Singapore in the making.'
Tumuunge mkono JPM na wale ambao wamepewa majukumu ya kumshauri na kumsaidia wajaribu kujielimisha sana na kuweka pembeni maslahi binafsi.
Nchi gani unafanyanya biashara bila kulipa kodi?Tatizo ulivo mpumbavu,wewe ndio unaetaka tuende katika uelekeo huo. Alafu unataka kutuaminisha JPM ndo ana vision hiyo, kwa kuuwa biashara kwa hizi kodi zao unazotakiwa kulipa kutoka kwenye mtaji na sio faida?
Wacha kuropoka kama hujawahi kufanya biashara. Ni fursa zipi utakazoanzisha na usifuatwe na mamlaka za TRA, NEMC, ZIMAMOTO, AFYA, TAKUKURU etc.Watanzania wenzagu tuache kulalamika na kusema viongozi wetu. Maana hapa hapa nchini tunaona majirani ndugu na rafiki zetu wakiendelea na kutajirika huku wengine tukibaki tunalalamika.
Cha muhimu kila mtu atumie vizuri hizi fursa zilizopo nchini kwa sasa, kujiendeleza na kama huzijui fursa hizo kafanye research au anzisha mada ya kuzijua fursa hizo
Lee Kwang Yuw alikuwa dikteta mbaya kama Hitler, alibadilika kadiri Singapore ilivyo kuwa inapaa kiuchumi.Vipi wakuu wa wilaya za huko Singapore não walikuwa wakiwachapa watu hadharani?
Nalog off
Mbunge gani alimpiga risasi kwenye viunga vya bunge?Lee Kwang Yuw alikuwa dikteta mbaya kama Hitler, alibadilika kadiri Singapore ilivyo kuwa inapaa kiuchumi.
Vipi mmeshafika Singapore?Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore wana zaidi ya $60,000.
Kama Rais Dkt. Magufuli anavyofanya, walianza na elimu ya bure na kuwekeza sana kwenye vyuo vya ufundi. Wakahakikisha wanapata wataalan wa kutosha. Waliekeza sana kwenye miundombinu ya umeme, mabarabara, bandari, viwanja vya ndege, technologia ya mawasiliano etc, walichochea sekta kama za utalii na huduma nyingine. Waliekeza sana kwenye afya hadi kuvutia medical tourism. Walipambana na rushwa na kutoa adhabu kali sana hasa death penalty kwa wahujumu uchumi.
Wali sacrifice bla bla za kisiasa na ku focus kwenye maendeleo. Mwandishi mmoja anasema:-
"Singapore's model of sacrificing freedom for business is highly controversial and heavily debated. Regardless of philosophy, though, its effectiveness is undeniable."
Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Tukifanikiwa hapo Tanzania ni 'a new Singapore in the making.'
Tumuunge mkono JPM na wale ambao wamepewa majukumu ya kumshauri na kumsaidia wajaribu kujielimisha sana na kuweka pembeni maslahi binafsi.
Thubutu yao. Ni rahisi kutamka Singapore lakini siyo rahisi kufanya Kama Singapore. Wawekezaji waliheshimiwa Singapore wakati sisi Mwendazake alikuwa anawaona kama weziVipi mmeshafika Singapore?
Huu uzi zama zake zilishapita saivi tuendelee kukamuliwa tozo kwanzaKwamba kipindi chake matajiri wanaweza kufanywa chochote. Labda Nchi ingekuwa tajiri kwa kuwa na masikini wengi. Vipi Singapore nao walikuwa na masikini kiasi Gani?