Tzs inazidi kupukutika inapoteza mvuto kabisa aisee......nauli ya daladala kam cha chini mia sita ....... wacha tuendelee kuchekwa na wakenya hahahahahaha
Sasa unaiba mil 3 mana yake ww ni kapuku.....unaezaje kulipa mwanasheria??? Kufungwa sio mana ww ni mhalifu ni vile tu umeshindwa kujitetea mahakamani au kesi yako ina faida kisiasa kwa wanasiasa fulani. ndo mana ni nadra sana tajiri kumkuta jela mana anaeza lipa mawakili chungu nzima hata jaji...
Tangu nlivooona juzi kesi ya tupac imeibuka tena na Diddy kahusishwa nikajua tu huyu CIA watampoteza na hakuna kesi rahisi kukupoteza hapo marekani kwa sasa kama ubakaji na unyanyasaji wa jinsia....Kushirikiana na taasisi za siri za serikali unaeza piga ela mingi ila mwisho wake mara nyingi sio...
Mim ni kijana niliemaliza elimu ya degree/shahada miaka 7 iliyopita nilisoma bachelor of "education in economics and accounting " lakini sikuwahi kubahatika kufundisha kama mnavyoelewa nchi yetu unasoma hiki alafu kazi utafanya utakayopata
Nlibahatika kufanya kazi mbalimbali ila mwishowe...
Ni kweli reserve ya dola hazitoshi kwa nchi zetu africa sababu tunanunua sana kuliko kuuza, ila point ya kumaintain value ya pesa kwenye dunia hii ya biashara ni kuipa thamani pesa yako kwa kuhakikisha unauza sana vitu nje. Hizi nyingine ni minor sana
Mchango wa bureau de change kwenye kushusha thamani ya pesa ni mdogo sana.....law kubwa ni moja tu ukitaka thaman kubwa ya pesa yako ni "fanya pesa yako itakiwe na watu" demand ya pesa yako ikiwa kubwa lazima thamani ipande nchi za Africa zinatakiwa ziache kutibu dalili za magonjwa ianze kutibu...
Tatizo alishapoteza credibility kwa hvyo hapa kwa sasa kwa mtu muelewa atajua tu anayasema haya kwa kuwa Boss wa sasa sio Boss wake mpendwa......!! the moment akiwa Boss wake mpendwa who knows atageuka???Hayati Nyerere namnukuu aliwahi sema "tujiepushe sana na wanasiasa wenye tabia za...
Taifa lina katiba nzuri imejitosheleza kabisa...mbona unamsemea kila mtu mzee? Hayo mamlaka ya kugeneralize unayatoa wapi?
Mfano Mimi naona haijitoshelezi..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.