Recent content by dri ma

  1. dri ma

    mawazo yenu tafadhali

    Lengo sio kuzikimbia ila nahitaji kujipanga kwanza kabla sijaingia huko ndo mana napenda nijue baadhi ili nipambanue zilizo ndan na nje ya uwezo wangu wakuu. Nahitaji kufanya maamuzi sahihi nisije nikajilaumu badae
  2. dri ma

    mawazo yenu tafadhali

    wakuu asanteni kwa ushauri wenu pia ningependa kupata japo experience yenu kidogo kwenye couples za design hii kama zinakuwa na mafanikio au vipi na kama kuna matatizo mostly yanakuwa yapi ili nijue naanza kuweka msingi gani wakuu
  3. dri ma

    mawazo yenu tafadhali

    Nimedate mdada of my age (26), ni kama mwezi mmoja umepita toka aniambie kuwa ana mtoto mmoja. Kiukwel tunapendana sana na sitaki kumcheat wala kumpotezea muda wake. Napata mawazo ya kumwoa in future ila naomba kwa wajuzi wa mambo mnishauri kwa jinsi ilivyo naweza nikapata changamoto gani...
  4. dri ma

    Hahaha nitajie movie

    mr ibu.
  5. dri ma

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    hiyo video youtube inaitwaje
  6. dri ma

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    pole sana bwana ndetchia__________pole mkuu hv n vjimambo 2.
  7. dri ma

    Yanga sc Vs Ruvu shootings

    wakuu mbona hawa tff wanachelewa kuleta kombe le2 inamaa kuona hawaoni hata kuckia pia aaaaaaah! watan au nyie ndo..........
  8. dri ma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    naona giroud katuweka mbele....lets go gunnerz
  9. dri ma

    LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

    shughul ishaisha messiiiiiiiiiiiiii
  10. dri ma

    LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

    kama leo ac milan wakipta bac ubngwa n wao coz mungu atakuwa upande wao, kw sasa hali ni mbaya
  11. dri ma

    LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

    sasa n ule wakat wa burudan ngoja nikapate ladha ya soka sasa.....
  12. dri ma

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    halaf hii kama story ya mshikaj wang mmoja ye alimchinja mbulula wake sa hiv yupo segerea nahisi hata wewe kifo kinakuita, yan hata kama ni mimi ukinibwaga hivyo sikuachi
  13. dri ma

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    usiache kile ulichotaka maishani ghafla tu kwa ulichotamani........Fid Q
  14. dri ma

    Hivi kaka zangu mnajisikiaje mwanamke anaevaa wig or wear fake hair

    i'm not interested with this kind of women and i usually tell my gf that 2 me she look very pretty with her hair cut short.
  15. dri ma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    we wana come back 2 the game homies no doubt!
Back
Top Bottom