Recent content by drhenry

  1. D

    JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    Tujipange, Kenya alimfungaje akiwa pungufu uwanjani!!??
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Tanzania Ikiondolewa na Wydad, RS Berkane na Raja Casablanca michuano ya CHAN

    Bilioni moja ileeeeeee......
  3. D

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unaweza kuanza ukiwa na milioni 1 au chini ikakulipa kwa kudumu Tanzania

    Fika kule Mang'ula Kilombero wakati huu wa mavuno nunua mchele kwa kilo kati ya elfu 1 na mia 5 hadi elfu 1 na mia 9, kwa milioni 1 uliyonayo utapata mwingi sana kisha unakwenda uza kwa bei ya jumla kati ya elfu 2 hadi elfu 2 na mia 5
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Nina uhakika wewe uliyetoa mada hii sio sehemu ya wahudumu wa afya sababu wahudumu wa afya hatuwezi ongea swala kama hili kwenye mitandao.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Nahitaji kujua bei ya spea ya exhaust pipe ( bomba la moshi) la harrier old model 5s engine
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Mjomba band na Mpoto
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

    Kweli kabisa ulichokisema
  8. D

    JamiiForums Tanzania Trump amjibu vikali Ayatollah kwa hasira

    Kuhusu hasira, chuki na hawana furaha hilo ameongea ukweli, mimi naongeza wamejaa kisasi viongozi wa Iran
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Iran haiko kwenye BRICS, hiyo ni I ya India sio Iran
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Israel anapigana na wangapi na makundi mangapi moja kwa moja na sio logically?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu ya CCM na Serikali tuambiwe,Hii mechi ya 25/06 Simba hatushiriki mchezo huo

    Mlifanya upuuzi tarehe 8 bila kufikiria kitakachotokea mbeleni
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu ya CCM na Serikali tuambiwe,Hii mechi ya 25/06 Simba hatushiriki mchezo huo

    Tafakari kwanza kabla ya kuandika ulichoandika, mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binaadam mchungu au sio....!!?
Back
Top Bottom