Duuh mbona hata hiyo barua ya kukanusha haina muhuli??? Daah kwanni serikali imeweka usiri mkubwa sana ktk swala hili la Ajira, na mishahara, madaraja na stahiki za wafanyakazi? Nini hatma ya hili,???
Ushauri wangu kwa wakuu ni bora wangetoa taarifa ni lini watalikamilisha hili maana kimya...
kiukweli ukimya wa wakuu wetu si vyema, maana naona serkal inapoteza uaminifu, waliomba miezi miwili na kutaka watu wawe wavumilivu, je bado haijaisha?:, vijana chukueni hatua mjitafutie tu kama ujasiliamali mjifunze msingoje, may b one day yes!
Asante ndgu kwa mchango mzuri, lakini pia unalizungumziaje kwanza swala la elimu itolewayo mavyuoni kwetu, maana elimu yetu haimfundish mtu kujiajiri ila badala yake vijana wengi wanasubir serikali, vipi hauoni hili linaweza kuyumbisha uchumi binafsi na wa Taifa mkuu?
Nini mawazo yako juu ya hili?
Unazani serikali yetu kuchelewesha Ajira kwa wasomi mbalimbali wenye sifa na vigezo linaweza kupelekea uchumi kuanzia kwa ngazi za familia na hata Taifa kiujumla kulegalega kutokana na kundi kubwa kukosa kazi maalumu za kufanya mitaani na kuwa tegemezi ktk familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.