Serikali yakanusha taarifa za kuanza kutoa ajira

Serikali yakanusha taarifa za kuanza kutoa ajira

Bajeti ya 2016/17 nadhani haijaoneshi ajira mpya, kupandishwa madaraja na nini sijui.

Wanaosubiri ajira, subirini bajeti mpya ya 2017/2018
Wanaosubiri kupanda madaraja na kulipwa malimbikizo yao, subirini 2017/18 au 2018/2019
 
Hii taarifa ya kukanusha imezidi kuchochea moto wa kilio cha Ajira kuliko kuuzima.
Ni kweli taarifa imekanusha, lakini hapo hapo ameacha pengo la taarifa.

Swali kuu kuliko yote hapa ni "LINI SERIKALI ITATOA AJIRA MPYA, KUPANDISHA VYEO, KULIPA MALIMBIKIZO NA KURUHUSU UHAMISHO?"

Pasipo kupata majibu ya swali hilo, tutaendelea kuona uzushi mpya wa taarifa mitandaoni kila siku.
Point
 
Duuh mbona hata hiyo barua ya kukanusha haina muhuli??? Daah kwanni serikali imeweka usiri mkubwa sana ktk swala hili la Ajira, na mishahara, madaraja na stahiki za wafanyakazi? Nini hatma ya hili,???

Ushauri wangu kwa wakuu ni bora wangetoa taarifa ni lini watalikamilisha hili maana kimya chao ndicho kitaongeza zaidi taarifa zisizo za kweli. Ni mtazamo tu
 
Pigia mstari kwa kwa kuzingatia bajeti ya mwaka 2016/2017. Maana yake ni kuwa hakuna upandishwaji wala nyongeza ya mishahara kwa mwaka huu kwani serikali ilipiga marufuku nyongeza yoyote tangu awali. Hivyo bajeti hii haipo.
 
Back
Top Bottom