Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi;
Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
Ni wazo zuri sana Magufuli alikuwa mwanamapinduzi mzuri sana alikuwa na maamzi magumu na kwa ajili ya watu wa Tanzania, aliipenda Nchi yetu sana. Aliposema alifanya tena haraka na mambo yalionekana pia.
Serikali ya Samia waliahidi ujenzi wa daraja la Jangwani tangu March mwaka 2023 kuwa...
Wawekeze nje ya Nchi yetu pia, maana hapa Afrika Mashariki Bank za Kenya zinadominate soko la Kibenk, EQUITY BANK na KCB yapo kila mahali hapa Afrika Mashariki. CRDB, NBC na NMB zina dhima kuu ya kufanya biashara nje ya mipaka yetu.
Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera).
Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha.
Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
Ni vizuri tukaangalia Mazingira yetu kama Nchi baadala ya kushabikia mifumo kandamizi dhidi ya waliyo wengi. Kuendelea kuwa makasuku wa Magharibi haiwezi kutusaidia chochote.
Nilichokiona hapa ni kwamba watu wengi hawafahamu kuhusu hii mifumo ya kiuchumi kati ya ujamaa na Ubepari, watu wanasema ila wanaogonzwa na Taarifa finyu juu ya mifumo hii ya kiuchumi.
Unasema Ujamaa ulishindwa na Ubepari au Ubeberu ni njia sahihi ya kiuchumi na hasa kwa watu maskini kama hapa...
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.
Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi...
Dah! Mimi naomba msaada, kwa Elimu hii ahsante sana.
Sasa mimi niliwahi kuambiwa na Mchungaji hivi kutoka Nigeria kwa kuniita jina langu na kunitabilia "Go and Enjoy your life" Mchungaji alikuja Tanzania kutoa huduma kwenye kanisa changa miaka 14 imepita ila sijawahi kuona hilo shida ndo zipo...
Dar Es Salaam.
Niliitembelea na Nairobi 2016 kipindi kile Nairobi ilikuwa ya Moto sana lakini mpaka kufikia 2022 Nairobi kama Arusha tu kwa sasa. Mpaka 2025 Dar Es Salaam itakuwa imeipita Nairobi kwenye kila kitu. Then Kwa Dar Es Salaam Nairobi inatoka mara tatu so Nairobi wanaweza kushindana...
Sijasema NCCR-MAGEUZI ina nguvu kuliko CHADEMA, Ila nakwambia maslahi ya Nchi au watu wenye nguvu zaidi wakitaka kufanya mikakati yao na wanavyotaka wao inawezekana mchana kweupe tu.
Kuna watu mnafikiri kuongoza Nchi ni jambo la rahisi na jepesi sana, CCM ni chama kongwe na chenye Mfumo kamili...
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi;
Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ikumbukwe makundi haya ni yale yanayomuunga Mkono Rais Samia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.