Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2
Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications.
Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-1
Baada ya kujifunza ujuzi wa jumla wa kompyuta na uko confortable juu ya kifaa chako ulichochagua kukifanyia kazi, tuchape mwendo.
Jambo la pili la kujiuliza ni kwamba unataka...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza
Software development ni idara pana sana na ni ngumu mno. ugumu huwa mkubwa zaidi kwa wale ambao wataamua kutumia mfumo wa Learning kuliko studying. Kama moja ya wahanga wa...
Unawaza kuwekeza katika ujuzi wa kutengeneza program za simu, kompyuta au internet?
Kama una mawazo hayo lakini una wasiwasi hilo ni pepo Fanya kulishinda .....hahahahaha...kidding guys!
Lakini kama ni kweli basi una mawazo sahihi sana kwa kuwa ulimwengu wa Leo na kesho utategemea sana...
Mambo vp wanajamvi, je unatamani kuwekeza katika tekinolojia lakini bado unasuasua, au ww ni Technopreneur na unahitaji kuongeza faida?
Hata mpango uko hivi, kuna tekinolojia hii inayotrend kwa kasi ya ajabu "IoT" yaan internet of thing. Kama umewahi sikia hii kitu au unaijua basi komaa...
Waafrika tulikuwa na mifumo na miongozo ming ya maisha ambayo yalijitosheleza, kwa upande wa kalenda tulitumia mfumo ujulikanao kama ZODIAC system. Huu ulikuwa ni mfumo wa kwanza wa mwanadamu kutambua nyakati lakin pia kutambua mamb mengine mengi ya kimaisha.
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu.
Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.