Recent content by DR. MWAKABANJE

  1. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwigulu: Acha Ufyatu - Kuharibu Muharibu Nyie, Kuwalaumu Muwalaumu Wale!

    Samahani naomba kujua, huyu jamaa anongea kama waziri mkuu ama kama katibu mwenezi na itikadi wa CCM AU L kama yule jamaa yao Tambwe hiza na cheo Cha propaganda?
  2. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

    Ogopa sana kumwaga damu ya binadamu lolote linakupata....
  3. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Ushauri, kaeni kikao bila mama kubalianeni kuinunua ila ibaki kuwa Mali ya familia, baadaye kaeni kikao na mama muombe awauzie na process zote za manunuzi za kisheria zifanyike.
  4. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Mzigo ni tire sealants mkuu.
  5. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    USD 450 per CBM, ambapo jumla ya CBM ni 7.29 hivyo 450×7.29 then exchange na Tzs.
  6. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM. Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
  7. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    Nioneshe wachama 13Mil. WA CCM nikuoneshe waumini 2000 WA Gwajima
  8. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Kilicho fanya mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na maeneo ya Ruvuma kukosa miundo mbinu miaka nenda ni nini haswa?

    Sasa hivi wanabeba makaa ya mawe Ruvuma tena Kwa wingi ila swala la barabara sio kipaumbele....mbaya zaidi kule wanakoyachimba wananchi wnakula vumbi tu.
  9. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Natafuta picha za mzee Jongo

    Picha sina....ila umenikumbusha mbali sana miaka ya 90 mwanzoni kulikuwa na igizo lake RTD kama sijakaosea likuwa linaanza saa tatu..siku sikumbuki..hapo familia nzima haiendi kulala inasubiri kipindi...kikianza ole wako upige kelele.,..
  10. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

    Kuna watu ama kwa kujua ama kuto kujua wanawachukulia poa sana walimu.....nawahakikishia walimu wa sasa si wa enzi zile binafsi nawajua walimu wengi tu ambao wamepambana kiuchumi wako mbali sana
  11. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

    Du hizi ID bhana jamaa kumbe jirani yangu tumecheza pamoja[emoji27][emoji27][emoji27]
  12. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Viatu vikali

    Utapendeza japo sio lazima Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
  13. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Viatu vikali

    40 Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom