Recent content by Dr Msaka Habari

  1. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Waliokumbwa na mafuriko Msimbazi washikwa mkono

    NYUMBA zaidi ya 250 zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, nakusababisha Kaya mbalimbali kuamua kuhamisha vitu vyao maeneo mengine kuhofia usalama wao. Awali akizungumza, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Ilala, Sabri Sharif amesema kuwa, amekubali kunyeshewa mvua...
  2. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania LATRA yafungulia mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanza safari za usiku

    Mwandishi Wetu, Dar es salaam Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka udhibiti Usafiri Ardhini, C.P.A, Habibu Suluo akiwa sambamba na Kamanda wa Trafiki, SACP, Ramadhan Ng'anzi, wameeleza kuwa kati ya Mabasi 759, yaliyokamatwa, Mabasi 723 yalipewa onyo na mengine 36 yamesitishiwa...
  3. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Talgwu - yasimamia ipasavyo mipango miji

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), amewapongeza Wanachama kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kusimamia ipasavyo suala la mipango Miji, changamoto za ukuaji wa Miji pamoja na kuchangia maendeleo endelevu katika Nchi yetu. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...
  4. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Bilioni 980.7 zatumika na TIB kuyawezesha mashirika

    Matokeo ya uwekezaji uliofanywa na Benki ya Maendeleo Tanzania katika taasisi za Umma na zile za watu binafsi, kwenye Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa, kinatajwa kufikia bilioni 980.7, mpaka kufikia Septemba 30, 2023. Hayo yamesemwa Jijini Dar es...
  5. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Dar construction expo kuwakutanisha wadau wa ujenzi

    Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi...
  6. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Gari linalotumia teknolojia ya gesi latambulishwa na Kampuni ya Scania

    Kampuni ya kutengeneza magari ya Scania ya nchini Sweden imeadhimisha miaka 60 ya uwepo wake hapa nchini kwa kutambulisha gari linalotumia teknolojia ya gesi ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuhamasisha matumizi ya nishati safi. Utambulisho wa gari hilo...
  7. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
  8. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Masha Mshomba, Mkurugenzi NSSF: Mfuko kwa mwaka 2023 umekuwa juu ya asilimia 20

    Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF), Masha Mshomba ametoa ufafanuzi wa mwenendo wa ukuaji wa Mfuko katika kipindi cha miaka mitatu ya hivi karibuni kwamba wastani wa ukuaji wa Mfuko kwa mwaka umekuwa juu ya asilimia 20. Ameeleza hayo katika Mkutano wa kikao kazi na Wahariri wa...
  9. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa meridianbet na halopesa kuwanufaisha wadu wa mchezo wa kubashiri

    Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Kampuni ya Mchezo wa Kubashiri Nchini Meridianbet, imetangaza kushirikiana na Halopesa katika kampeni ya Jichukulie Maokoto na Halopesa, ushirikiano huo ukiwa na lengo la kumfurahisha Mtumiaji wa Meridianbet na Halopesa wakati wa kufanya malipo. Hata hivyo...
  11. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania AICC kukuza uchumi wa nchi katika uwekezaji

    Na. Mwandishi Wetu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Ephraim Mafuru amesema kituo kinajiimarisha na kujipanga zaidi kimkakati, katika mipango yake ya baadae ambapo sio kutoa huduma kukodisha kumbi za mikutano tu bali ni pamoja na kujenga hoteli kubwa za...
  12. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania NIC yajivunia kuwafikia wateja zaidi

    Shirika la Bima la Taifa (NIC) linajivunia kumudu ushindani licha ya kuwepo na Makampuni zaidi ya thelathini kwenye soko la Bima Tanzania, imeweza kumudu ushindani kwa kufanya vizuri baada ya Shirika hilo kufanya maboresho tangu mwaka 2019. Kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Bima Shirika...
  13. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kujikita katika tafiti

    Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya Wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya Nchi kupata matibabu. Pia ametakiwa Wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na...
  14. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Elimu zaidi kutolewa na soko la bidhaa Tanzania (TMX)

    Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi. Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
  15. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Trilioni 8.88 zanufaisha wastaafu

    Ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeongeza thamani ya mfuko huo kwa kupitia uwekezaji na kufanikiwa kuwalipa wanufaika 262,09 Jumla ya shilingi Trilioni 8.88, katika kutekeleza majukumu yake. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari Jijini Dar es salaam...
Back
Top Bottom