Kuna watu wameoa wake za watu, mwanamke asiyefuata vision yako sio wa kwako, wewe unataka utulivu anakupa stress, ukitaka usafi anakupa uchafu ni lugha gongana may be tunafanya vitu kwa mihemko tu hatujiambii ukweli tuna angalia makalio au uzuri fulani bila kuangalia alicho wekeza kichwani...
Hormonal imbalance/ changamoto ya hormones kutokuwa sawa wakati mwingine huleta maumivu ya tumbo, chuchu, kichwa, au stress wakati wa hedhi (PMS). Tiba asili ndio chaguo sahihi either mtabibu aliye karibu nawe au ni PM
Ulaji wetu siozuri sana hivyo hupelekea kuzalishwa kwa uteute/ mucus...
Na wengi hufananisha lazer jet cheap za hp na Epson ink jets wanaona Epson ni bora, ni kweli kwenye angle ya kupunguza gharama. Ila kwenye real gama ya kuprint vifungashio kwa shelf life ya zaidi ya 3 months sihauri na hapo ndio wanakuja wenye muscles za kifedha na kuwekeza mamilioni kwenye...
Airtel kwa home rooter ni 70k , hii kwangu naona inanisumbua ghali ikiwa matumizi yangu madogo aise nataka kuwakacha na fiber hawajafika mtaani kwangu optional nyingine rahisi ata speed ikiwa chini like 10mbps sio mbaya sina matumizi makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.