Recent content by Dr Fisher

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

    Upinzani kweli umepotolewa..inasikitisha...lkn wengi hawataelewa kwa sababu ya mikumbo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

    Dhamira ya chakawa sijui UKAWA itatimia bungeni...ile dhamira yao ya dhati iko hatiani...siwaoni kama watu visionary...ni watu illusionary...huwezi kukimbilia kuitoa ccm ambayo inaweza kujisahihisha kwa sababu ina misingi imara na watu imara,,kwa kuleta kiongozi anayekurupuka na kubadili gia angani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

    Hata 38% hafiki...wewe unasema millioni 10 una mzaha kweli
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Mtoa mada ni Very bogus,lazy na mgumu wa analysis...Hata kujua tu kuwa usaliti,unafiki,uzandiki,na uroho walioonesha Chadema na UKAWA yao kwa kumwita Lowassa ni kwa sababu walijua wasingeweza kumshinda Magufuli...Lowassa ataongeza upinzani lkn urais ni kitendawili kwake...pia...Si kila barabara...
  5. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    CCM is the most optimal choice
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    Watanzania wanaitaka ACT??? Ebu kapimwe kwanza akili yako
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    Wajinga sana Wanaosema hakuna Busega...Rafa Chegeni ni mbunge wa wapi???pole tz..huyu akipewa uongozi na ccm au wachumba zao act hachelewi kuuza nchi...kichwa Nazi kabisa kawaambie mabwana zako mbiu la mgambo lilishalia..huu ni mziki mnene
  8. D

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta can be the fifth president of Tanzania

    Sitta may..yes.. and frankly speaking if there is anyone who thinks CCM is going to elect a man who will make citizens question then he is wrong..if anyone thinks that CCM will elect an "actor" who creates groups to persuade him so that we can take it that he is viable..he is wrong..this country...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Lowassa na ACT are dead dogs
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    People power..wiiiiiiiiiii
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Vyema kwa kutumia haki yako kusema..lkn pole kwa kutaka mwingine badala ya kubakiza kura yako upinzani ili idadi yao iwe akidi bungeni ili Mnyika akitoa hoja kudai haki zenu hoja yake ipite..pia kumbuka yeye ameshakuwa mbunge bora Mara mbili kwa kutoa michango..kuuliza maswali ya msingi na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Mnaotafuta nafasi nje ya CDM mnachekesha mkidai kuhusu kuminywa kwa democracy, walakh hakuna popote mtakapokwenda mtakapokutana na mnachokitaka. Mmegubikwa na uroho kuliko uvumilivu na umoja wa kuiengua CCM kwa kuanza tu...mnafikiri ACT pale wote watafurahi ZZK kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Maana hawa team Lowassa kotekote ndo wanachohubiri..Mara kashawishiwa...Mara Tafiti...Mara sio fisadi..Mara maamuzi magumu...come on..is he so special like that???mnasikitisha sana..mnaaibisha sana...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Seriously mnaringia kushawishiwa na makundi mliyoyaandaa na hizo Tafiti???au kuna kingine???Hahahaha..pole Tanzania kwa kuvamiwa na wapuuzi na wajinga wachache
  15. D

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni turufu ya CCM kuwamaliza wapinzani

    Kinachofanya akose mvuto ni mbinu zake chafu zilizojaa ukabila na udini...pia usanii wake kutuaminisha wenye akili zetu kuwa anashawishiwa...y all these dirty tricks?? Na mnatuambia utafiti??? Utafiti ni predictions tu!!Brazil pale Tafiti zilishow Chama tawala kitashinda lkn kikashinda...
Back
Top Bottom