Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Anajisafisha mwenyewe anachohitaji ni kupewa tu muda.Subiri Uone mambo itakavokuwa.Lowassa alikuwa anakitetea chama sasa hivi liwalo na Liwe.

Wewe Umeona Mbali. Na Anakoelekea Sasa Yale Yote Aliyomezea Ili Mradi Tu Abaki CCM Na Kupewa Nafasi Ya Kugombea Atayatema Na Watu Kibao Wataumbuka. Though Sijui Sasa Tupo Season Ya Ipi Wala Episode Gani
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Umesahau mizengwe ya wabunge pendwa kuenguliwa ilileta impact gani
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Kama watu wanachagua chama na sio mtu, ule mvuruganao wote wa Dodoma ulikuwa wa nini? Kwanini msikubaliane moja kwa moja kwa vile mnachagua chama?
Unaseme UKAWA itapoteza kura, kwa akili yako unamanisha wana UKAWA wataipigia ccm kura?
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Acha kulia lia wewe siasa umeanza kufatilia kwenye bunge la katiba.
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Mlisema hivyo hivyo kuwa Lowassa hawezi kuhama CCM.
Leo mmenyamazishwa.
Subirini wakati wa kupiga kura ndo mtajua.
Labda mtumie goli la mkono la Nape
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Mbona umetawaliwa na hofu hii ni nchi ya watanzania wote chama cha zamani kimekutia upofu zinduka
 
Kumsafisha itataka uwe na moyo wa chuma.

Ajira ni tatizo TZ, hili sio issue kwa timu Lowassa, kwa ujira kidogo tu watapata jobless wa kutosha wa kuwatetea. Ila sitegemei mtu mwenye akili timamu,asiyenufaika na chochote kushabikia kilichofanywa na CDM na Ukawa.

Dr.Slaa asipong'atuka nitamuona mpuuzi wa mwisho TZ,

I feel bad kwa wanasiasa vijana, kwani Lowassa ameshawatia najisi ingali bado wabichi kabisa kwenye siasa wengine hata re-election ya ubunge hawajapata bado.

Sasa hivi ghafla bin vuu wako upande mmoja na fisadi mkuu na timu yake yote ya Marafiki ( hapa hesabu Chenge, Karamagi, Tibaijuka, Rostam...naaa KINGUNGE)

Duh, siasa kweli hazifai,heri yetu tunaoishi kwa kutumia vipawa alivyotupa mwenyezi,huku kuishi kwa kutegemea nyota au matukio mwisho wake ndio haya...,

November 2015 kutakuwa na Jobless wa kutosha hapo Dar.
 
Wewe hujui historia ya majimbo yanayoongozwa na upinzani kwenye ubunge. zaidi ya 80% ya majimbo hayo ilikuwa makosa ya uteuzi wa wagombea wa ccm. Hicho ndicho kinachotokea sasa hivi kwenye ngazi ya urais. POLENI CCM. Bahati mbaya hiyo haina reverse.
 
Ajira ni tatizo TZ, hili sio issue kwa timu Lowassa, kwa ujira kidogo tu watapata jobless wa kutosha wa kuwatetea. Ila sitegemei mtu mwenye akili timamu,asiyenufaika na chochote kushabikia kilichofanywa na CDM na Ukawa.

Dr.Slaa asipong'atuka nitamuona mpuuzi wa mwisho TZ,

I feel bad kwa wanasiasa vijana, kwani Lowassa ameshawatia najisi ingali bado wabichi kabisa kwenye siasa wengine hata re-election ya ubunge hawajapata bado.

Sasa hivi ghafla bin vuu wako upande mmoja na fisadi mkuu na timu yake yote ya Marafiki ( hapa hesabu Chenge, Karamagi, Tibaijuka, Rostam...naaa KINGUNGE)

Duh, siasa kweli hazifai,heri yetu tunaoishi kwa kutumia vipawa alivyotupa mwenyezi,huku kuishi kwa kutegemea nyota au matukio mwisho wake ndio haya...,

November 2015 kutakuwa na Jobless wa kutosha hapo Dar.

Kwa jinsi ninavyoichukia CCM ni bora niende na Ukawa tu. This year i must vote and i can't vote for CCM, never.

Wabunge vijana wengi nawaonea huruma sana, unless 70% ya wabunge mainland watoke Chadema kupunguza ukakasi utakaojitokeza. Visiwani wapewe CUF yote, NCCR na NLD wapewe 30% ya majimbo ya Tanzania bara. I think this will be fair.

Ukawa waje na sera za kuikomboa Tanzania toka wimbi la umasikini.
 
Wewe Umeona Mbali. Na Anakoelekea Sasa Yale Yote Aliyomezea Ili Mradi Tu Abaki CCM Na Kupewa Nafasi Ya Kugombea Atayatema Na Watu Kibao Wataumbuka. Though Sijui Sasa Tupo Season Ya Ipi Wala Episode Gani
final Episode. time duration two month.
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Mkuu vipi tena mbona umehamanika hivyo, si jana tu nimekwambia humu kuwa si Dr. Slaa ukawa mbogo umeona sasa leo yametimia? Haya sasa na wewe hama.
 
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM ni bora niende na Ukawa tu. This year i must vote and i can't vote for CCM, never.

Wabunge vijana wengi nawaonea huruma sana, unless 70% ya wabunge mainland watoke Chadema kupunguza ukakasi utakaojitokeza. Visiwani wapewe CUF yote, NCCR na NLD wapewe 30% ya majimbo ya Tanzania bara. I think this will be fair.

Ukawa waje na sera za kuikomboa Tanzania toka wimbi la umasikini.

watakujaje na sera mpya wakati wamechukua kombo kuu kutoka CCM?

hapo ndio ukawa walipokosea.., kumuweka lowassa sio aina ya mabadiliko watanzania walikuwa wanahitaji.., yani magufuli ana ugeni kwenye siasa za nchi hii na mifumo ya uongozi kuzidi Lowassa aliyetumikia kichama na serikali awamu zote 4.

Hiki walichofanya UKAWA ni utoto na kutokujiamini.
 
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu mtamlaumu nani?

Hebu tuambie atashinda vipi bila kushindana ili ushinde ni wajibu kushindana hivyo yuko kwenye mashindano tusubiri matokeo siunaona huko alishindana mkasema kashindwa naye hakukaa tu kwa kuwa nia yake ni kushinda ndio maana bado yuko kwenye mashindano na lengo ni kushinda
 
Kushinda xwa je unataka ushindi ili ushibe au ili usaidie watu. Na ushindi wa kusaidia taifa haulaizimishwi bali ubarikiwa na mungu
 
Back
Top Bottom