Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Dhamira ya chakawa sijui UKAWA itatimia bungeni...ile dhamira yao ya dhati iko hatiani...siwaoni kama watu visionary...ni watu illusionary...huwezi kukimbilia kuitoa ccm ambayo inaweza kujisahihisha kwa sababu ina misingi imara na watu imara,,kwa kuleta kiongozi anayekurupuka na kubadili gia angani
 
Upinzani kweli umepotolewa..inasikitisha...lkn wengi hawataelewa kwa sababu ya mikumbo
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Inaonekana kama umesema sahihi. Kura za wana Ukawa halisi zina hatari sana ya kupunguka, na halafu kura za wasindikzaji kutoka CCM zikawa ni chache sana kuliko zile za wana Ukawa zitakazopotea. Ni wasiwasi wangu mkubwa sana kuwa maamuzi pupa ya CHADEMA yatatokomeza upinzani sana kwa miaka mingi ijayo kama ilivyotokea mwaka 1995. Ni kweli kuwa Lowassa alikuwa ameumia sana kukatwa na CCM na alikuwa na machungu sana ya kulipiza kisasi. Angeweza sana kutumiwa kulipiza kisasi hicho bila ku-undermine upinzani. Sasa hivi yeye ndiye ana-own ngome iliyokuwa ya Upinzani kwa hiyo hakuna upinzani kabisa kwani itakuwa ni CCM-liyopita dhid ya CCM-iliyokatwa. Ni aibu kweli kwa CHADEMA, na sidhani kama kweli atakuja na wana CCM wengi vile upande wa upinzania.

Ngoja niwatoe nje ya mada kidogo; mwaka 1983, ndege ya Air Canada Flight 143 ilikuwa inatoka Montreal kwende Edmonton. Ndege ile ilikuwa ni mpya kabisa ikiwa imengenzwa kampuni ya Boeing huko Seattle Marekani. Kabla ya hapo Canada na Marekani walikuwa wakitumia vipimo vya galoni, lakini mwaka huo Canada ikaaza kutumia vipimo vya Lita. Kwa kujua mabadiliko yale, ndege ile ikawa imetengezwa ikiwa na indicator za vipimo vya lita. Sasa makosa yakatokea kuwa wajaza mafuta waliona geji ile wakadhani ni ya galoni kwa hiyo wakafanya mahesabu tena ya kubadilisha kutoka galoni kuwa lita wakati tayari vipimo vilikuwa katika lita. Matokeo yake wakaweka mafuta kidogo sana kwenye ndege almanusura ianguke kwa kuishiwa mafuta angani kabla haijafika mwisho wa safari yake.

Nina wasi wasi kuwa Mbowe na Chadema wamefanya makosa hayo hayo na ndege yao itaweza kuishiwa mafuta kabla haijafika October.
 
Lets wait and see.
 
Back
Top Bottom