Recent content by dr bura

  1. dr bura

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal kashinda 2_1 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dr bura

    JamiiForums Tanzania Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Tatizo ukifika Polisi kibao kinageuzwa unaambiwa umejipatia fedha kwa njia ya udanganyifu au wizi baada ya kuaminiwa hivyo hiyo ni jinai unadhani utafanyaje hapo
  3. dr bura

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC jitokezeni tumsaidie Haji S Manara.

    Mi nilichoka na hizo kros zilivyokuwa zikipigwa na wachezaji Professional
  4. dr bura

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, Naseeb Abdul "Diamond Platnum" kabadilisha dini?

    Anapelekwa na upepo wa dunia namna unavyovuma ndivyo anavyozidi kupoteza dira ya nafsi na kufanya asiitambue kesho yake Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  5. dr bura

    JamiiForums Tanzania Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

    Biriani iliowazi si ugali uliofunikwa hata laki mbili ghali
  6. dr bura

    JamiiForums Tanzania Magufuli apinga muswada wa haki za kijinsia wa EALA

    Mwanafunzi aliebakwa akabeba mimba anahusikaje na kufanya ngono kwa ridhaa yake,hapa haitakuwa anakumbana na adhabu mbili na zote zinakwenda kuharibu maisha yake?
  7. dr bura

    JamiiForums Tanzania Makubwa: Anna Mghwira adai yeye bado ni mwenyekiti wa ACT Wazalendo na hajajiuzulu

    Mkuu wa Mkoa ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa mkuu wa wilaya ni CCM wacha tuone
  8. dr bura

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

    Nimemsikia mmoja akisema wafungiwe maisha na ubunge wavuliwe hiii wameuwa?
  9. dr bura

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Nidhamu Bungeni,Inacheza na akili za Watanzania.Si ya kuamini kamwe.

    Spika kumuamuru mnyika atoke akakaidi hili sikulisikia ila mkuchika amesema kwamba mnyika alikaidi amri ya spika kumtaka atoke
  10. dr bura

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Ipime kauli yako ni mwezi mtukufu huu si mwezi wa kuvunja jungu hizi lugha kwa sasa si wakati wake
  11. dr bura

    JamiiForums Tanzania Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

    Mambo ya kuiga
  12. dr bura

    JamiiForums Tanzania Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Apewe dakika mbili tu
  13. dr bura

    JamiiForums Tanzania Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

    Mi nimepata kigugumizi
  14. dr bura

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Wako wapi waweka kumbukumbu za maajabu ya dunia waje waongezee na hivi vituko vyetu
Back
Top Bottom