Recent content by double diff

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwingine aua kwa risasi naye kuuawa na wananchi kwa ugomvi wa ardhi huko Kahama

    kurudi(kurusi), kamanda(kandanda) duh we noma sana Ila kama amemuua mwenzie kwa kumpiga risasi naye akauawa bac poa!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

    yes mi mwenyewe demu wangu ni Mnyaki anajua kupenda mnoooo tena anawivu balaaa na ni mwepesi kukasirika na anuwezo wa kutopokra simu hata mwezi mzima ukimkwaza
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Tanzania hii hii ndo ukatili kama huo unafanyika kweli?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki

    Duh mambo ya Sembe hayo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitataja majina ya vigogo walioficha fedha nje kwenye kikao kijacho

    toka uanze kusema kuwa unawataja mbona imekuwa kama hadithi vile?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uganda (UPDF) laichokoza Tanzania - ITV Habari

    no, rorya mkoani mara eneo la sota ambapo wavuvi hao walipo ni kweli ni karibu na Uganda
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maduka ya mavazi ya michezo

    jezy nenda k/koo stendi ya msmbazi kuna duka inaitwa AB Sports kuna jezy za timu zote bei ni elf 25 ila ukiprint jina jezy unauziwa elf 20
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    unaishi wapi? una miaka,mingapi? na kwanini utaki uolewe?
Back
Top Bottom