Picha za kutisha: Upasuaji wa mtanzania akiwa na madawa ya kulevya tumboni mwake...

Well its very bad and also deadly game to gamble ,but i doubt kete 5000? Nafikiri idadi hii inawezekana kuwekwa kwenye maiti tu.....:disapointed:

Na hiyo maiti ni baada ya kuondoa utumbo na viungo vingine, kete 5000? Hata ziwe size ya pipi ivory haziwezi kukaa tumboni kwa mtu hai!
 
Never on Earth... nngu007 labda uwe na utumbo wa Ngombe....binadamu wa kawaida akibeba uzito mkubwa ni kete 160 mpaka 165.

wanameza kupitia mdomoni au wanaingizaje tumboni!

Kuna njia mbili, moja unameza mdomoni ukishindwa kumeza wanatumia njia ya pili kwa kupitishia kwenye kijambio
 
Dec 17th 2013


miss.jpg


Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.


Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.


miss.jpg


Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.


miss.jpg


Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.

miss.jpg


Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.

miss.jpg


Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.

miss.jpg


Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.

miss.jpg


Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.

miss.jpg


Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.

miss.jpg


Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.

miss.jpg


Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .

mh ketee elfu 5 ebwana hapa uhapa umezdirha labda awe ngamia
 
Vijana wanataka maisha y haraka bt wengi wamekufa kwa tamaa hii.kuna jamaa alikua anabeba 1500 kete 2mboni cjui kma yuko hai, cz 1500 n kilo n nusu cz inahitaji m2 mwenye roho ngumu.bt kumeza 2000 au zaidi cjawah sikia ila n ngumu cku hizi cwaoni tena mana walikua weng jirani n ofisini kwe2 kariakoo, wengi wamekufa n kufungwa china makao.kwel roho z vijana zinateketea kwa madawa so sad
 
Ni ujinga sana kuendekeza njaa kwa mtindo huu! Hii itawamaliza sana vijana!
 
Kamanda! huyu jamaa alifanyiwa upasuaji akiwa mzima
au alikwishafariki kabla ya upasuaji?.Duh inatisha sana hii
kitu.
 
Back
Top Bottom