Nimekuelewa sana mkuu, but si kweli kuwa wanaokwenda vyuo vikuu ni vilaza, mitaala ya vyuo haimruhusu mwanafunzi kuwa competent kama mnavyotaka but competence inapatikana anapokwenda kufanya kazi ya kitu alichokisomea. Utata ni pale vitu zinakua nyingi and muda unakua mfupi, lecturers wanakimbia...
U might be right but not totally right. It has been announced that to all loan beneficiaries should make sure you pay back the money you was sponsored . where does that money come from? And if we decide to start our own business we should also seek job from the government, I mean in any where...
Habari,
Mie sidhani kama hakuna hasiyeamini kuwa mungu hayupo. Sema kuna kitu twasema "kupuuza", hii kitu humfanya mtu ajihisi kama anaouwezo wa kujiendeshe mwenyewe aka kujisimamia mwenyewe katika mambo yamuhusuyo mwenyewe. Hakuna mtu atembeae mwenye bila msaada wa mungu ila sema sikuizi tuko...
Za mida wakubwa,
Katika uendeshaji wa dunia bila shaka Luna boss kama sijakosea, hii ni kwasababu utawala wa mataifa mengi hasa hapa Afrika tuko chini ya nchi zenye nguvu kama US. Unaweza husione jinsi gani tunaongzwa na hao watu wa NWO( new world order) lakini wapo mpaka sasa, na kwetu Tz...
Ee bhana nimeipenda sana iyo description Mkuu, make ninakoishi kuna indirect prostitution wakutosha .....lisipite gari ama arufu ya mkwanja wote wanalegea kwa jina la tamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.