Mnamuongelea mtu furani, halafu mda si mrefu anatia timu/kufika maana yakee nini hii?

Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,796
2,769
Heri ya mwaka mpya! kwenu wana jukwaa...
Kuna jambo linanitatiza sana. mfano: mmekaa somewhr, au hata home mnapiga story mbili tatu hivi, then ktk maongezi yenu mkamuongelea mtu furani hivi. but ghafula huyo mtu mliekuwa mnamuongelea anafika time hiyo hiyo. kuna watu wanasema mengi ktk hili plz mwenye uelewa au maana yake atililike hapa jukwaani anisaidie
 
Hata hii mi iliwahi kuwa inanitokea ninaenda sehemu fulani kazini na ninauliza swali wanasema ndo tulikuwa tunaongelea sasa hivi. Hata siku moja nikaenda kampuni ya ulinzi nilikuwa na issue nao waksema hiyo issue yako ndo tulikuwa tunaiongelea sasa hiv.
 
So wataalam wa mambo haya watusaidie plz plzzzz......
 
Heri ya mwaka mpya! kwenu wana jukwaa...
Kuna jambo linanitatiza sana. mfano: mmekaa somewhr, au hata home mnapiga story mbili tatu hivi, then ktk maongezi yenu mkamuongelea mtu furani hivi. but ghafula huyo mtu mliekuwa mnamuongelea anafika time hiyo hiyo. kuna watu wanasema mengi ktk hili plz mwenye uelewa au maana yake atililike hapa jukwaani anisaidie

CC mshana jr
 
Unafanya biashara unasubiri lisaa lizima hakuna mteja, akianza kuja mmoja wanaongezeka wengine mpaka unashindwa kuwamudu ni nini maana yake???
 
Jaribu pia kuangalia huyo wa kwanza kuja ni nani u note down,kuna watu flani wana mvuto kwenye biashara za watu wengine na kama ukiweza mtengenezee mazingira ili awe anakuja mara kwa mara.Unaweza kumpa vitu kama ofa nk nk.
 
Heri ya mwaka mpya! kwenu wana jukwaa...
Kuna jambo linanitatiza sana. mfano: mmekaa somewhr, au hata home mnapiga story mbili tatu hivi, then ktk maongezi yenu mkamuongelea mtu furani hivi. but ghafula huyo mtu mliekuwa mnamuongelea anafika time hiyo hiyo. kuna watu wanasema mengi ktk hili plz mwenye uelewa au maana yake atililike hapa jukwaani anisaidie

Katika mapokeo wanasema mtu kama huyo ana maisha marefu.
 
Sie husema kuwa anakua na Maisha marefu ila wengine watakwambia kuwa ana mzimu mkali mno uliomfanya apitie sehemu mnapokua.
 
Back
Top Bottom