Ubia wa kibiashara (Women Saloon)
Anatafutwa mtu yeyote ambaye yupo tayari kuingia ubia wa kibiashara Katika biashara ya Saloon ipo njia panda ya chuo
Sifa zinazohitajika.
1. Awe mwenye uwezo mkubwa wa kufanya mawasiliano katika mitandao ya kijamii
2. Awe na uwezo wa kuongoza na kusimamia...
Habarini.
Nahitaji mfanyakazi wa nyumbani.
Sifa.
*Awe mtu mzima kuanzia miaka 25 na kuendelea.
*Awe na hulka na kupenda watoto.
*Awe mchapakazi.
*Awe na afya njema.
*
-Kazi ni ya kwenda na kurudi.
-Mshahara ni maelewano ila pia unaweza kuongezeka kulingana na ufanisi wa kazi.
Aliye...
Reja reja ni 8500
na. Jumla yanapatikana kwa 84,000 kwa katon.
nipo ubungo kibangu
huduma inakufuata ulipo kwa wakazi wa Dar bure kabisa. Na mikoani tunasafirisha mteja atalipia pia gharama ya usafirishaji
Wadau karibuni mafuta mazuri ya nazi asilia kwa ngozi na nywele zako.
mawasiliano.
Piga: 0712 464 064
whatsapp: 0767 270 682
Rejareja ni 8500 kwa chupa ya ujazo wa Ml. 200
jumla ni 84,000 kwa katon.
dar utaletewa ulipo.
Kwa mikoani tunasafirisha kwa gharama maalum.
Nauza mafuta ya Nazi asilia.
Rejareja bei ni Sh.8500 tu kwa chupa ya ujazo wa Ml.200.
kwa jumla ni 84,000 chupa 12. Unaletews ulipo kwa wakazi wa Dar.
Napatikana ubungo River side.
karibuni sana.
Piga: 0712 464 064
whasapp.0767 270682
Habarini wana jamvi.
Mimi mjasirilia mali ninayechipukia.
Nimeamua kutengeneza mafuta ya nazi asilia mazuri kwa ngozi za watu wote.
hayajathibitika kuwa na madhara mwilini. Yanapatikana kwa ujazo wa ml. 200 kwa bei ya sh. 7,000. Gharama hii ni bila ya usafiri.
karibuni sana.
Kwa mawasiliano...
Habarini wana Jamii.
natafuta nyumba ya kupanga
Iwe maeneo ya ubungo au mabibo hostel, vyumba vitatu vya kulala,
jiko, sebule , luku yake, iwe ndani ya geti pamoja na maji ya Dawasco.
Mawasiliano ya awali ni ndani ya Jamvi hili.
Asanteni
Habarini wadau.
Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje.
Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
Habarini wana JF.
Nafasi ya kazi katika kituo cha biashara ya pesa yaani Mpesa n.k. maeneo ya kibangu karibu na shule ya msingi.
Sifa za muombaji.
Awe mwaminifu kwa kiwango cha juu.
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Awe na ufahamu mzuri wa mambo ya pesa.
Awe mkazi wa maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.