Habarini.
Nahitaji mfanyakazi wa nyumbani.
Sifa.
*Awe mtu mzima kuanzia miaka 25 na kuendelea.
*Awe na hulka na kupenda watoto.
*Awe mchapakazi.
*Awe na afya njema.
*
-Kazi ni ya kwenda na kurudi.
-Mshahara ni maelewano ila pia unaweza kuongezeka kulingana na ufanisi wa kazi.
Aliye na sifa taajwa tuwasiliane kwa mtandao huu.