Habarini wana JF.
Nafasi ya kazi katika kituo cha biashara ya pesa yaani Mpesa n.k. maeneo ya kibangu karibu na shule ya msingi.
Sifa za muombaji.
Awe mwaminifu kwa kiwango cha juu.
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Awe na ufahamu mzuri wa mambo ya pesa.
Awe mkazi wa maeneo ya ubungo kibangu.
Awe na wadhamini ambao wana makazi ya kudumu katika maeneo hayo.
Na Uzoefu wa mwaka mmoja katika kazi tajwa.
Malipo yatafahamika baada ya mahojiano.
simu zipigwe muda wa kazi tu na sio usiku.
Tunashukuru wote waliojitokeza.
Nafasi hii imeshapata mtu mstahiki.

Last edited: