Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,778
Wakuu wa Nchi natafuta mafuta ya nazi ya kula .Nimeangaika hapa Arusha mjini hiyo kitu hawajui ,yapo tuu ya kupaka ya watoto .kama unajua mahali yanapatikana please let's me know.
Yanauzwa Shoppers supermarket yanaitwa Kente kama shoppers haipo Arusha unaweza kumuagiza mtu akununulie....
Mimi pia nauza mafuta ya nazi lakini ni ya kupakaa lakini soon nitakuwa na ya kula pia
Hapana, yote yanatengenezwa kwa nazi nzuriMkuu embu tutoe tongo tongo hayo ya kula yanatoka na nazi hizi hizi mbovu kama yale ya kupaka?