Natafuta wataalamu wa vifungashio

dos un

Member
Nov 24, 2015
24
9
Habarini wadau.
Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje.
Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
 
Nenda TBS Ubungo watakushauri na kukuelekeza mtengenezaji aliyepitishwa kwa viwango bora
 
Back
Top Bottom