Najaribu kukujibu kizushi.. Ina maana wa D'salaam wote wanaishi Morogoro road. Kila jambo la maendeleo liwalenge waoo tuu!.
Any way.. nikiondoa uzushi, mwendo WA kutoka kurasini mpaka posta mpya WA gari Ni dk 2 bila foleni. Vilevile daraja kusogea pembeni kidogo itasaidia kupunguza msongamano...
Afadhali mmenishtua, maana na mimi nipo bize naperuzi JF kwa takriban saa nzima wakati nimeweka daftari na vitabu mezani nisome..!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Uzazi mwingine, jitahidi kufanya maamuzi mapema ya mahali pakujifungulia ili muweze kuhudhuria kliniki mahali hapo. Inasaidia sana kwasababu mazingira mnakuwa mnayafahamu na maendeleo yenu wanakuwa nayo katika kumbukumbu zao.. Kila la kheri.. Mungu atawasaidia, mtajifungua salama.
Sent from my...
Umenifanya nirudi juu kurudia kusoma tena. Maana hutu tudodoma wine tulisha edit kila kitu.. Bwahahaaa!.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Yaani, hakuna msanii alieniumiza kama mtangazaji WA vipindi vya television, Ellen. Lakini baada ya muda nikazoea, maana mtu hadi kufunga ndoa. Its very sad. Ila hajabadilisha mapenzi yangu kwenye kutizama vipindi vyake.. Tena amenifanya niendelee zaidi kufuatilia kazi zake.
Sent from my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.