BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Kwa kupenda mteremko hamjambo....
ndo maana wake zenu wanaliwa!
Wanaliwa nini?
Kwa kupenda mteremko hamjambo....
ndo maana wake zenu wanaliwa!
Wanaliwa nini?
Wanaliwa nini?
wamebaki wachache kama kaka anguAlaaaa! Za kwako ndio zina kazi ya maana ila za mwenzio za kununua vikorombwezo vya kukuvutia wewe!
Kesho utatamani asuke kimasai uta order tu,nani ana fund hujui,halafu ukisaidiwa utakuja kulalama Jf.
Wanaume wanapungua sana!!
Cc. Heaven on Earth
wamebaki wachache kama kaka angu
Nimekumiss wii jamani mbona umekuwa adim sana
Nipo wii jamani,pilika tu zinanificha.
Nimeku miss pia,mzima lakini??
mie mzima my dia
mie mwenyewe nimekuwa busy busy ila leo nakuona tu hum
hivi shule zimeshafunguliwa au bado..Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?
bado wanasubr selection za fom five hahah!hivi shule zimeshafunguliwa au bado..