Recent content by dopeless

  1. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hah..hamna mkuu ni kuongeza vitu kichwani tuu. Nimeweka hiyo baada ya kuona watu wanauliza mara kwa mara vitu hivyhvyo
  2. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    KANUNI ZA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
  3. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Lolote linawezekana wao ndio waongoza njia..so kwa wale wote wanao subiri DATABASE wasikate tamaa waendelee kufunga na kuomba ili MUNGU atende
  4. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiyo hapo DATABASE
  5. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hua hatuna taratibu za kufuatilia jambo
  6. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Fuatilia placement za nyuma kuna watu waliitwa TTCL na taasisi nyingine..mkeka mzima ulikuwa na DATA BASE
  7. dopeless

    JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Ndugu Adam255 mkataba wako na TAESA haujasema utapata ajira ukimaliza huo mkataba .Na lengo kuu la TAESA ni kukupa wewe mafunzo kazini so ukiwa kwenye Internship hiyo jaribu kutafuta connection na usiache kwenda kwenye interview za PSRS na kujiandaa vyema kwenye hiyo interview. Ni watu wengi...
  8. dopeless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    "Njaa haimpendezi MTU kama suti" Mzee nifanyie mpango wa huo wimbo mzee
  9. dopeless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    Njaa haimpendezi MTU kama suti
  10. dopeless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    Mzee nifanyie mpango wa hii nyimbo
  11. dopeless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    @ namichiga..nisaidie kupata huu wimbo.. Njaa haimpendezi mtu kamasuti bwaeee...
  12. dopeless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epson printer l850

    Naomba mwenye uwelewa na aina hii ya printer anipe ufafanuzi(ubora,madhaifu pamoja na bei ya wino wake na bei yake)
  13. dopeless

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi simu na wauza Spare za Simu Tunauza tach na lcd kwa bei nafuu zaidi wx3 tunauza kwa 3600 tu.

    Mkuu namba bei ya touch ya samsung J7
  14. dopeless

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    mwenye Samsung J1 ya elfu 50000 tuwasiliane
  15. dopeless

    JamiiForums Tanzania Biashara ya waste engine oil (oil chafu)

    Sawaa mkuu
Back
Top Bottom