Recent content by donocean

  1. donocean

    JamiiForums Tanzania Karafuu (clove) kutoka morogoro.

    Kwa mahitaji ya karafuu kutoka morogoro tuwasiliane bei Tsh 22,000/= kwa kilo. Grade one isiyo na vumbi.
  2. donocean

    JamiiForums Tanzania Nashauri uanzishwe mtandao wa simu wa kupiga na kupokea tu pamoja na sms. Watapiga hela mpaka wazikimbie

    Atakaeanzisha atawekewa vikwazo mpaka aombe samahani.....hii nchi ukiwa na nia nzuri nyundo zinakuhusu....kuwa utaaribia watu business yao ya internet.
  3. donocean

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu ya jamaa yangu yaninifurahisha

    Acha ajisambazie upendo
  4. donocean

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Sema wew hutaki kuelewa......halafu inaonekana ni mbishi.....nimekufafanulia vizuri hapo, mambo ya sadaka yalivyo na hata sasa ni matokeo ya sadaka ile ila sio kwamba hatuna dhambi.
  5. donocean

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Nimeshakujibu inabid upate somo kuhusu sadaka.....and how it works....hiyo mambo haijaanza jana au juzi baada ya kuja Jesus....ni kitu ipo tokea kuumbwa kwa dunia hii....
  6. donocean

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Kuna vitu vingi hujui kuhusu sadaka......kasome law of karma.... everything in this world require a sacrifice. Ndo maana tokea zamani manabii kam mussa, Ibrahim na wengine walitoa sadaka, yale hayakuwa maigizo, it's the universe law since then.....na hata sisi kutoka katika adhabu za dhambi...
  7. donocean

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Kwahiyo wew unamaanisha mitume na manabii wote waliowahi kuwepo duniani hawana maana au ni waongo......cause wote walifanya kazi sawa na Jesus Christ. Au kosa hapo ni kuitwa mwana wa mungu??
  8. donocean

    JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Wa kwanza hapo ni mfalme Suleiman.....yule alitisha, aliweza ongoza mpaka majini
  9. donocean

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    We jamaa mnafki hatar [emoji28][emoji28]
  10. donocean

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Utafiti unaonyesha hakuna watu wagumu kuelewa kama mashabiki wa diamond
  11. donocean

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Msinywe pombe tu nunueni na magari
  12. donocean

    JamiiForums Tanzania Chagua kazi kati ya Geita, Dodoma au Arusha

    Hili litakua pande, wakulungwa wanaelewa
  13. donocean

    JamiiForums Tanzania Badili maisha yako leo: Yajue Mawe Saba na Madini saba tu yanayoweza kukubadilishia au kukuletea unachotaka

    Kwahiy mkuu Rakims mtu aliyezaliw tareh 29/9 inabid avae jiwe gani ili apate utajiri na kila jambo analofanya lifanikiwe, au madini yapi
  14. donocean

    JamiiForums Tanzania Ajira Dodoma

    Hiyo ni company ya usafi, makao yake makuu yapo Dodoma, sas kuna kazi wamepata ndo wanatafuta hao watu kuziba hizo nafasi. Halafu kuna namba hapo ni vyema mkapiga kwa ufafanuzi zaidi mi nimeshare tu
Back
Top Bottom