Recent content by donniebrasco

  1. donniebrasco

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Kimondo kingedondoka Kemondo ingependeza zaidi
  2. donniebrasco

    Nimemnunulia mwanangu juice ya kiwandani, mtu anadai ina sumu. Hii kasumba tunaitoa wapi?

    Vitu hatari sana hivyo vya viwandani kama kuna uwezekano epukana navyo kadri uwezavyo. JITAHIDI KWENYE HII DOZEN 1.IBADA za moja kwa moja kama SALA na FUNGA. 2.Fanya MAZOEZI. 3.Chai weka ASALI siyo SUKARI 4.JUICE tengeneza mwenyewe. 5.MAFUTA ya kupikia pia punguza sana. 6.Punguza VILEVI NA...
  3. donniebrasco

    IGP SIRRO , KWELI?

    Mi niko busy naisaka bilioni
  4. donniebrasco

    IGP SIRRO , KWELI?

    Mi niko busy naisaka bilioni
  5. donniebrasco

    Wenye weledi wa swali hili kwenye usahili

    Huwezi kusema "....kuvuka chini ya ......" ni makosa, ungesema "..hawakushuka chini ya...." Pia juu umeandika kwenye kichwa cha habari ".. ili.." badala ya "..hili.." Tena ukaandika " tahaluma" badala ya "taaluma". Sasa hilo ni tatizo ndugu yangu tena kubwa inabidi mtu ujitahidi kuongea na...
  6. donniebrasco

    Maneno mazuri na Shule ya maisha katika biblia

    Kweli kabisa lakini kufanya kazi za halali ni muhimu wakati tukimtegemea MUNGU. MUNGU anapenda tujitahidi kwa maarifa yetu yote na nguvu zetu zote aliyotujaalia kwenye maisha yetu halafu tunaposhindwa kabisa ndio huwa anafanya miujiza yake. Lakini hata wakati wa tukitumia maarifa yetu na...
  7. donniebrasco

    Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

    K Kwani si kuna ofisi pia zingine zimejengwa kwa msaada
  8. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Kwani malenga alikuwa ni mtu!? Mi nilivyokuwa nikijua malenga ni neno linalomaanisha mtunzi wa mashairi
  9. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Huwa napenda kujitahidi kidogo kutungatunga japo sikusomea lugha kabisa napenda mashairi
  10. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Inategemea atakeyetaka kuflow au kuimba poa tu
  11. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Nina Imani atapatikana, Mfanyabiashara kijana, Machoni hajaonekana, Tunahuzunika sana. Tunamuomba JALALI, Sana kwake tunasali, Atuoneshe hata mahali, Tuna maumivu makali. Polisi wetu wanajitahidi, Na wanaongeza spidi, Na pia raia wema ikibidi, Watoe wao ushahidi. Vikosi vyote viko kazini...
  12. donniebrasco

    Bomu la Nyuklia la USSR (Urusi ya zamani) lililoishangaza Dunia

    Siku hizi hakuna haja ya kuwa na mabomu makubwa! Zamani ilikuwa shida kupiga target kwa umakini wa hali ya juu ndio maana wakatumia mabomu makubwa sana! Siku hizi mabomu yanaweza kupinpoint target kwa hivyo hakuna haja ya kuyafanya makubwa hivyo
  13. donniebrasco

    Polisi Dar wamsaka Mo Dewji Bahari ya Hindi ; Waziri Lugola kufanya kikao leo

    Kumbe kwake ni maeneo ya Laibon sio Kenyatta Drive!?
  14. donniebrasco

    Tusio na kazi tukutane hapa

    Kutokuwa na kazi ni kazi kubwa sana!!
Back
Top Bottom