kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,175
- 3,221
Leo nimeenda kufanya interview sehemu flani-flani, ndio interview yangu ya kwanza kuombea kazi, ni kampuni kubwa tu na mashuhughuri hapa nchini
.
.
Level yangu ni degree, swali lilikuwa ivi:
.
.
"Ungependa kampuni yetu tukulipe kiasi gani kama kiwango chako cha mshahara",
.
.
Jibu langu lilikuwa ivi: " ningeomba kampuni inilipe kulingana na kiwango changu cha tahaluma, pamoja na grade za serikali"
Pannel ikagoma, wakata ni-specify exactly amount ambayo nastahili nilipwe, hawakutaka range (e.g..5000 mpaka 7000), anaitaji kama ni laki moja niseme ivyo.
.
.
Nikachoka:
.
basi kutokana kazi kuwa adimu sana hapa mjini na natokea familia isiyo na kitu mtu mzima nikajikuta nimesema laki 6,
.
.
Wajuzi wa ata mambo naombeni maoni yenu
.
.
je nimeboronga,?
.
kuna uwezekano wa kupata kweli iyo kazi,?,
.
je kwa swali kama ilo na mkazo kama huo nastahili kujibu vipi siku nyingine?
Asanteni