Mkuu, Portfolio unaweza andaa mwenyewe. Siyo kitu kipya, in short ni detailed CV yako. Yaani ni wewe in terms of skills, education, accomplishment katika kazi zako ulizowahi kufanya, mipango/malengo yako ya baadae, wadhamini wako, na chochote unachohisi kinaweza kukuelezea kwa undani. Angalia...