Recent content by donanguru

  1. D

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Yaani umeandika kwa kujihesabia haki sijapata ona. Mara nyingine imani ina brain wash. Hivi nikuulize ; kusema Pengo yuko kama kavaa PAMPAZ sii tatizo ! kweli ni maneno tunayotarajia kutolewa na kiongizi wa dini mkubwa ! nyie endeleeni kubeba sadaka kwenye vikapu kumpelekea Gwajima afu yeye...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kajol Khan: Binti anayecheza, kula na kulala na Nyoka aina ya Cobra maisha yake yote

    sijaelewa unavyosema analala nao !
  3. D

    JamiiForums Tanzania University of Dar es salaam yashika nafasi 37 vyuo bora Africa

    Nilisoma University of Western Cape ( ni chuo tofauti na University of Capetown) siamini kama chuo hiki kinaweza kuwa juu ya University of Dar. labda kwa majengo na mandhari.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania's albino community: 'Killed like animals'

    Jana nilianzisha topic inayohamasisha Taifa kufanya maombi mbele za Mungu ili vitendo vya mauaji ya Albino yaishe na adhabu kwa watekaji. NILISHANGAA sana topic haikuchuka hata dakika 10 ikawa moved'. nikashangaa topic zinazosema albino wa mwanza wahamishwe ndo zinatawala ( hata...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Binafsi nimesikitishwa sana na mauaji ya ndugu zetu Albino na watu wenye roho za kishetani, juzi alipokamatwa huyu mtoto nilisomo kwenye internet nikadhani wamerudia habari ile ya mwanzo. leo nasoma tena mtoto aliyetekwa Tanzania akutwa amefariki na viungo vimechukuliwa. ukisoma comments za...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengine mnampa faida shetani

    sasa mbona waimbaji wa injili uliowataja kuwa wanavaa kiheshima wote ni wanyakyusa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Waadventista Wasabato River Side Arusha lashika Rekodi Barani Afrika

    Sawa, sasa baada ya kukamilisha hilo, muanze kusali Jumapili
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

    mkuu ume comment kama mimi nnavyocomment kwenye mafaili Ofisini
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tubu kwa kuomba hii sala

    Amen Amen
  10. D

    JamiiForums Tanzania Malia Obama apigwa mimba

    'baba wa mtoto hajulikani ila ni mzungu ' hii nayo kali
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

    kwenye ufisadi tuko vizuri. Ya kwanza Uganda, ya pili Burundi, ya tatu Kenya. Tz na Rwanda tuko safi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

    Kwa kweli kwa mtazamo wangu kituo cha ITV boresheni matangazo ya habari za Kimataifa. Yaani mnawaacha watazamaji hewani. Hivi kweli hamuoni hili. Kama muda hautoshi 'adjust ' kwenye habari za Kitaifa jamani. Yaani unakuta ka power point sekunde 5 habari imeisha! Afu muwe mnaacha zile english...
  13. D

    JamiiForums Tanzania NBC bank sucks

    no baby , you are musungu ! You might even be posting this from abroad !
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la Benki kuu ya Tanzania

    Bogus tu hana lolote huyo Gavana. We ngoja mwezi wa tano watu wakianza kuvuna mazao utasikia ' mfumuko wa bei umepungua na Uchumi unakua'
  15. D

    JamiiForums Tanzania NBC bank sucks

    are you white ? I mean English/ Britisho , this english is scarce in TZ
Back
Top Bottom