Malia Obama apigwa mimba

Aliempa mimba nanii??mlinzi au shusheni ubuyu jamanii

Wat if ni ya baba yake....hahahaha...dunia ya sasa imevaa viatuuu....kuna katoto mtaani kwetu kucheka cheka na baba...mwsho wa siku mimba hiyooo...kubanwa na mama..akamjibu ya baba....mama kazimia...but wanalea mtoto
 
Hebu acheni uongo bana....mtoto wa prezidaa wa US unampatia wapi ili hali bodigadi saa zote yupo hapo mattercony...wale wanawekewa hata tracking divice kwenye kucha, ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"
baada ya kusoma coment yako na kuangalia ID yako nimecheka sana.

Eti mattercony
 
Hebu acheni uongo bana....mtoto wa prezidaa wa US unampatia wapi ili hali bodigadi saa zote yupo hapo mattercony...wale wanawekewa hata tracking divice kwenye kucha, ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"
U made my day!!!!!
 
Hhhhhaaaaa umeuaaaaaa
 
hahahaahhahaha, aisee. Kweli wewe FYATU.
You made my day
 
Last edited by a moderator:
Hebu acheni uongo bana....mtoto wa prezidaa wa US unampatia wapi ili hali bodigadi saa zote yupo hapo mattercony...wale wanawekewa hata tracking divice kwenye kucha, ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"

Lol, eti mattercony. We kweli fyatu
 
Mwana wa Obama Malia umri miaka 16 ni mjamzito.
Kwa kifupi baba wa mtoto bado kujulikana ila ni muzungu.
tutaendelea kuwahabarisha zaidi
Source intelijensia binafusi.
 
Ninachofahamu:
Sio kwamba dogo kadaka mimba, hapana. Ila dogo inasemekana ana ka boifrendi ka kimya kimya!
 
Siyo kweli, ilikuwa kama Jokes katika mtandao wa Tweeter alipoandika, lakini huwa ni utaratibu wa white house (ikulu ya marekani) kuja na scandle fake angalau mara moja moja ili ku-draw attention ya umma.
 
mimba ya Diamond hiyo wakati ule alipoenda State...mapenzi yao yalianza wakati ule Obama na wanae walipokuja bongo
 
Fastjet si ndio huwa anapendelea sana kupaa huko state kila mwezi! Wakimhoji vizuri huyo mtoto ardhi ya Tanzania itatikisika.
 
Back
Top Bottom