Recent content by donaldole

  1. D

    CNN Poll: Trump anaongoza

    Yeah trump ni rais hilo liko wazi
  2. D

    Marekani wanaiogopa Iran?

    Subiria yule kichaa achaguliwe ndo utajua marekani wanaiogopa iran au la
  3. D

    Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    Hebu jamani tujadili nn maana haswa ya uchochezi?ni maneno gani yanafanya uwe mchochozi?maana hili neno uchochezi ni kama vile limepanda moto awamu hii ya tano kila kukicha unasikia uchochezi uchochezi mbna awamu zilizopita hatukua tunayasikia haya na ukisikia mtu kafanya uchochezi bs ni...
  4. D

    Serikali tusimamie wananchi makampuni ya simu yanatuibia kwenye Internet

    Kila siku nawaambia hamieni halotel muone ilivyo nafuu na huduma bora hamtaki mnaidharau,sh 3999 MB 1536 wiki,sh 5000 MB 2560 wiki,sh 7000 MB 3580 wiki na wala huibiwi kwakua kila unapotumia wanakuletea msg umetumia MB ngapi na zimebaki ngapi,so make changes guys
  5. D

    Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

    Mi cjawahi kusikia halotel wezi au wanalalamikiwa kiasi hichi,kwanza wanavifurushi bora kuliko hyo mitandao yenu yakizamani
  6. D

    Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

    Sasa je c unaona
  7. D

    Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

    Hamia halotel hawana hizo hbr
  8. D

    Kwa wapenzi wa simulation PC games

    Mi nataka fifa 2016 au pes lkn pes cjui namna ya ku install kwenye android mwenye uelewa hebu anipe namba yake tuongee ntamlipa pesa nikifanikiwa kuipata
  9. D

    Nauza simu za samsung mpya zina accessory zake zote.

    Sory brother ulikua ni mtazamo wangu tu c kwamba hautaziuza la hasha!!
  10. D

    Nauza simu za samsung mpya zina accessory zake zote.

    Bei juu sana humpati mtu na simu zakizamani hzo
  11. D

    Polisi wavamia duka lenye bidhaa za CHADEMA na kuondoka na muuzaji

    Kwakweli magufuli hafanyi kitu fair angeacha tu mambo kama waliomtangulia walivyoyaacha mbona ilikua shwari tu tuliishi poa hii inaleta upset kwa jamii,cha msingi yeye angesimamia maswala ya msingi yanayogusa maslahi ya taifa hao kina chadema na wengine angeachana nao kwani wanamzuia nn kufanya...
Back
Top Bottom