Nauza simu za samsung mpya zina accessory zake zote.

Nauza simu za samsung mpya zina accessory zake zote.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Wadau habarini za jioni, nauza simu aina tatu za samsung, s3,s4 na galax grand duos. Ni simu mpya kabisa zimeingia leo. Hizi simu nauzia nyumban au mkononi kwa maana haziko dukani maana kupata frame ni habari nyingne. Bei zake zipo kama ifuatavyo:
Samsung s3-290000
Samsung s4-380000
Grand duos-380000.
Nashinda ku-uppload picha naona network haiko vzur ila kwa mwenye uhitaji tafadhali anitafute 0713806766. Nipo dsm kigamboni. Karibuni sana
 
Tangazo bila picha halina mzuka....wengine simu wanazijua zaidi kwa kuziona kuliko kwa majina....otherwise weka specs zake tuzijaji.
 
Tangazo bila picha halina mzuka....wengine simu wanazijua zaidi kwa kuziona kuliko kwa majina....otherwise weka specs zake tuzijaji.

Nmehangaika kuweka picha network inakataa inaniambia "upload fail" so nifanyeje... Na ndio maana nmetoa namba hapo kama kweli una nia utanitafuta ntakutumia hata kw whatsapp.
 
Mdogo wangu chukua simu moja kampe yule mtoto wa Utumishi yule mnene mweusi hiv wa kigamboni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom