Recent content by Donald sylvester

  1. Donald sylvester

    Wimbo: Ajali

    Ahsante mkuu
  2. Donald sylvester

    Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

    kwani ni kilele gani hicho unachochelewa kufika sio cha mlima kilimanjaro kweli???? kibo na mawenzi
  3. Donald sylvester

    Duniani kuna vituko..

    Dah! jamaa katulia kama mwanamke vile inaonekana ni mara kwa mara anashuhudia mke wake akifanyiwa hivyo kaamu na yeye ajionee mwenyewe
  4. Donald sylvester

    Unamtambuaje marehemu aliyeungua moto kupitia DNA ?

    Anatambulika kabisa ondoa shaka wala usihofu ni kazi ya madaktari
  5. Donald sylvester

    Mashine ya Ultra sound yaibwa Hospitali ya Wilaya Bariadi

    Tunakoelekea hata gari watumiazo polisi zitakuja kuibiwa, Tanzania kwa sasa kuna matukio ya ajabu sana.
  6. Donald sylvester

    Wimbo: Ajali

    Duh! hadi machozi yananitoka
  7. Donald sylvester

    Nahitaji marafiki

    Nami ningependa tuwe marafiki
Back
Top Bottom