mimi walinitumia hii.:A S-baby:
Habari,
Hongera sana,
Nimeattach barua ya kukubaliwa kufanya kazi hapa POD Volunteer,Belize(Central America),utaisaini na kuirudisha kwangu.
Pia unatakiwa kufanya malipo kwa ajili ya Visa/work permit ambayo gharama yake ni dola $260,itachukua siku 3 za kazi...