Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

Kigwa wewe ni mnafiki na msaliti ukiwa kama dr bora ukae kimya mnafiki mkubwa hamisi kigwangala.
 
hayo unanena wewe, subiri kesho utanisikia Star TV tuongee asbh utaujua ukweli ninaoumaanisha ni upi, si lazima iwe ule 'ukweli' wa kukufurahisha wewe

Mimi pia sitegemei uzungumze ukweli wa kunifurahisha mimi......hata hivyo unifurahishe mimi ni JK au Pinda?......hao ndio unaotakiwa kuwafurahisha manake wanakuweka mjini!......mie mlala hoi unifurahishe nikusaidie nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kigwa tutazungumzaje hoja ya madakitari bila kutaja serikali au pinda ambae ndie waziri mkuu
 
Pinda ni dhaifu.Kiongozi wa intelligensia hawezi naye kuwa dhaifu kihivyo hadi aongozwe na watu wasio.Intelligensia huwa wanakuwa tafu ,wanakuwa wazalendo na wasimamia yale yanyojenga nchi kwa gharama yoyote.Sasa huyu jamaa hadi waandishi wa magazeti makanjanja(achilia mbali wale makini na wenye weledi) wana maono kuliko yeye? Naye ukimuuliza kwanini Rukwa na huko mkoa mpya umekuwa choka mbaya miaka yote atakwambia hajui. Hawa ndio viongozi wanaokuja danganya watu walibaguliwa?Pinda ni mwongo, mwoga, hajiamini na mwaribifu wa serikali km mkuu wake.Si ndiye anayewapa magamba unyago kabla ya vikao vya bunge, si ndiye kila siku anadhalilishwa na dhaifu mkuu?Yote haya ni kwavile hajiamini kiasi cha kumwaminisha dhaifu.Ndio maana dhaifu anajiona anaweza kuliko huyu shushu.
Asubiri CDM wachukue nchi halafu adhani atalia tuu ili asamehewe,kwani huu ujinga wake wa kujibu kwa dharau bungeni huku anadanganya, akisaidia na uongozi wa bunge kwa kujaribu kucontroll maswali.Pinda kama Kikwete walikosea wasingeingia kipindi cha pili kwani hawakustahili, ndio maana wanadhalilika hivi.Kuchakachua kunawaabisha.Dahifu alishindwa jikaza na kukubalia kuwa hakushinda angepewa heshima Kubwa, sasa asubiri .
 
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!

mkuu mimi siwezi kukushambulia kabla sijakusikia unacho maanisha. sasa mkuu ukweli ni upi? sababu madaktari wanalalamika kwamba hawajatekelezewa kitu chochote.
serikali ilipoleta mapendekezo yake madoctor waliomba yakafanyiwe marekebisho na wakaipa serikali wiki mbili kabla ya mgomo.
kifaa cha t scan hakifanyi kazi huu ni mwezi wa saba.
wahitimu wa udoctor wanaenda wapi baada ya kuhitimu?. Mia
 
mi wala sina shida ya kuhesabiwa na wewe wala na yeyote yule kwa kuwa sina shaka na udaktari wangu, mimi ni daktari tu hata kama wewe hutonihesabu. uwezo wako ni mdogo sana maana umeshindwa hata kusoma between the lines na kuelewa nilimaanisha nini...

Dr. Hapo vipi, jamaa amekupata nini!!

Niliwahi kukuuliza maswali huko nyuma, nini faida ya wewe kuwa na MD, MPH na MBA maana impact ya wewe kuwa na hivo mi sioni yaani upo tu kama ambao hawana hizo, au unataka kukubaliana na mch Msigwa kuwa watu wenye akili kubwa mmeziweka mifukoni na mmekubali akili ndogo ziwatawale...embu jamani onyesheni kuwa ninyi ni wasomi...

Unaposema huna shaka na udaktari wako na ya kuwa wewe ni daktari tu... kwa ninavyojua usipopractice huo udaktari wako kwa kipindi fulani unakuwa huwezi kupractice maana udaktari siyo vyeti ni taaluma unayotoa kila wakati...angalia usitudanganye na kujivuna bure kwa hayo makaratasi...udaktari ni kichwani na siyo makaratasi kaka...
 
Back
Top Bottom