Recent content by don twelvve

  1. D

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Polepole na ukweli kuhusu MCC

    polepole awadanganye wajinga wenzake wasie jua usiku na mchana haiwezekan ufukuzwe kwenu alafu ujigambe swala la kujimudu kwenye kujitegemea kwni muda ote ulikuwa wap na kwnn kma ulikuwa unataka kujitegemea hukuondoka kwa matakwa yko mpaka ufukuzwe ndo Tz ya leo imetolewa inasema imejiandaa duh
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nawauliza hivi waziri na mkuu wa mkoa nani zaidi

    wazir mkuu ni msimamiz wa shughuri za serikali kwa nchi nzima mkuu wa mkoa nimsimamiaji wa shughur za serikal kwa mkoa husika
  3. D

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    faid yake nn ss wa tanganyika kuitumia zanziber kma kolon letu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye elimu ya ‘’hapa na pale’’ wakubalika sana CHADEMA

    mtoa post atuahinishie elimu ya apa na pale nielimu ipi alafu tumpe ufafa nuzi mzuri
  5. D

    JamiiForums Tanzania Utafikiri nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita

    kila kitu kinawezekana tz adi elimu bule adi chuo kikuu inawezekana sema ukillitimba tu wa viongoz wetu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    duh makonda mtoto mdogo sna kwa kubenea
  7. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaposema tuiokoe nchi, Kwani nani aliiua?

    kwaiyo kampongeza kwa kuyalea majizi mr dt jpm na sio kwa kazi nzur ya kuwatumikia watanzania
  8. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

    mtoa mada unakumbumbuku ukawa walisema kupitia mgombea wao mh lowassa hawatoshirikiana na serikali ya maghufur cz ushindi wake ni batili na sio kutomtambua kma maghufur ni rais na awajawai kumkosoa maghufur kiutendaji walikuwa wanasema inchi inaendeshwa na mfumo sio mtu mmoja mmoja ndomana adi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    sio kweli kma viongoz wa ukawa wanam beza zzto ila wanachama wa ukawa ndo wana m beza zzto wakijua kaungana na ccm kumuunga mkono shein ieleweke zzto haungi mkon kilicho tokea zanziber ndomana akushangilia wala kuzomea
  10. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    nashangaa kuona mgombea wa spika ambae mwanasheria anashindwa kujibu swali na kubebwa na spika alafu mtu mpuuz anakwambia vifungu anavyo kichwan vya katiba
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Magufuli kiutendaji itasababisha kudhoofika kisha kufutika kwa UKAWA

    uvi mtoa post kukagua baadhi ya wizara ndoutendaji usimpime kiongoz utendaji ndani ya siku kumi na bdo ajaunda ata serikari yake
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    hawa ndo tunawataka ktk ukomboz wa taifa
  13. D

    JamiiForums Tanzania MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    kasha jua kma mwaka huu hawana chao na dunia inajua ivyo so lazima ishangae kma wakipita tena ccm
  14. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    mwaka huu awatoki na atutoki kwenye vituo vya kupigia kula
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    mh magufuli yupo tayar kukubali matokeo kwa amani iwapo atakuwa ameshindwa uchaguzi na kukubali kuwa mpinzan
Back
Top Bottom