Nawauliza hivi waziri na mkuu wa mkoa nani zaidi

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
nimeona mara kwa mara waziri anamuagiza kazi hivi ni nani zaidi au kanuni imebadilika sababu mimi nachojua mkuu wa mkoa anawasiliana kikazi moja kwa moja waziri mkuu au rais na waziri vivyo hivyo
 
wazir mkuu ni msimamiz wa shughuri za serikali kwa nchi nzima mkuu wa mkoa nimsimamiaji wa shughur za serikal kwa mkoa husika
 
Back
Top Bottom