Recent content by don-mike

  1. D

    Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Wakati Kenya imeamua kuuza 15% ya hisa za safaricom, ambapo serikali ilikuwa mbia. TZ tumeamua kuuza dhahabu, lets see Uganda atauza nini..... inaonekana hii ndio namna pekee ya kujinasua baada ya trump kukata mizizi ya misaada. Na hii itaenda kwa nchi nyingi zaidi. Wapo watu watamdondoshea...
  2. D

    Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

    Model 3 itaendelea, na kwangu mimi hiyo ndio inafaa kwa mazingira ya Tanzania
  3. D

    Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Ajari kazini, hata mimi ningekuwa dereva wa hiyo route ningekuwa na bustani yangu home kabisa. Full gated compund + green house.
  4. D

    Mwanasheria Miguna Miguna atangaza nia ya kugombea Urais Kenya 2027

    Kama anaogopa Kanyaga ardhi ya Kenya, atachukulia form online au?
  5. D

    Tetesi: Mbona Watanzania wengi wako na roho chafu towards Kenya? Ni ukweli wamefunzwa chuki?

    I wish Andrew Kibe could understand few things, mostly amechanganya mambo ambayo hayahusiani kabisa 1. Watanzania wengi hawapendi namna wakenya hupelekesha watu, hapa kwetu ukitaka huduma unasema naomba, kwa mkenya anasema leta. Nna marafiki wakenya hapa tz walivyokuwa wageni walipata pia hiyo...
  6. D

    Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader!

    The man made to destroy American Suprimacy. No wonder he is afraid of impeachment.
  7. D

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    hujui kapatwa na lipi, familia yake imepitia nini, ndugu zake wamepatwa na lipi, then unakuja lalamika hapa
  8. D

    Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

    Sio misiba tu, hata kuhudumia mgonjwa serious lazima lawama, masengenyo, mitifuano, n.k hii ndio Afrika
  9. D

    Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

    Mwanamke full kumsifia Dereva wake. Naamini kabisa dereva ashafanya yake pale.
  10. D

    Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

    Hersi hajachukua form ya Ubunge Kongwa. Story imeundwa undwa ilimradi iaminike. Ikumbukwe siku ya kuchukua form Konga Hersi alikuwa Kigali tayari. Ukiwa public figure shida sana, maana si kila jambo unatakiwa ulitolee ufafanuzi, hivyo wabaya wako wanakupopoa wanabaki kuku enjoy.
  11. D

    Mbao za Mti pori

    Weka aina ya mbao unayouza Mninga, Mpiripiri, Mkongo, Mkurungu, Mpodo, Mkangazi, etc Weka bei ya jumla, weka bei yako ya reja reja. Tangaza biashara kwa kujiamini.
  12. D

    Mbao za Mti pori

    Bei?
  13. D

    GE2025 Harambee ya CCM ni tukio la kuhuzunisha mno kisiasa kwa mwaka huu

    Dunia yote ipo hivyo....nenda chaguzi za marekani angalia wamiliki wa Tesla, Facebook & Whatsapp, Google & Youtube, Microsoft, etc namna wanavyochangia kampeni kwenye chaguzi zao. Muda wa kujifunza zaidi...
Back
Top Bottom