Recent content by DoN Comy

  1. D

    TV Series Reviews

    Kuna mjumbe kadai imerud apo juu, cjaichek net
  2. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni kocha mzuri bt sio nguli, aliipokea chelsea kutoka kwa avb, alikua assistant coach then akapokea team, yan ndo anaanza kukomaa
  3. D

    TV Series Reviews

    Nachongoja mimi ni Muanguko wa The walking dead season 5, the best seriez i ever seen, ths october
  4. D

    TV Series Reviews

    Homeland iz back? Dah mzuka mzukaa
  5. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WADAU ME NATAKA KUINGIA KTK ULIMWENGU HUU BT SIELEWE VZURI. M bet nayo najarbu siielewi
  6. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau me mgeni ktk ulimwengu wa kubet, lakin mpenz wa soka kupita maelezo, niko mby, nataka niingie ktk huu ulimwengu, nipeni shule kdogo nijue jue kukoje uko.
  7. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mpira mzuri 2mecheza, Man of the match wangu ni willian yapo alizingua kidogo,. Very Good game.
  8. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Itafika myb december, me ndo nishamalza fifa14 manager career, saiz namalizia player career
  9. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    yap najua 2nao weng sana ambao wapo onloan, Attackng middlefildrz yupo marco marin 23/4 yrz, yupo mario pasalic, yupo Van ginkel onloan to AC milan, bt haina maana kuwa 2sisajil ata kama kipaj ni kzuri, barkley ni AM au CM bora zaid kwa umri wake kumbuka, bt sijapnga 2po vzur stil
  10. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lewis Baker yap umeongea neno na tayari kapandshwa 1st pamoja na nathan Ake, bt wengne 2naona ndio bt we stil need talent bora zaid
  11. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    point unayo bt we are not that bad japo kweli tuwefungwa goli nyng, dogo kpa anajua na anahtaj kusoma beki zake, muda bado atakaa sawa tu, jinsi ya kuwanga bado anasoma mchezo, terry yap anazeeka na verane kasagn new contact til 2020, ila curt zouma yupo kama mbadala
  12. D

    knock!! knock?! Mshamba in da jF.

    guess wht!! DoN kwa nyumba yaaan
  13. D

    Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

    ha ha ha ths is funny, bt cha mcngi kuwa mjanja ww, ktk hzo wiki mbili unayaonaje maongezi yake? Hatua gan anachukua kuexpand uhusiano wenu?, unaonaje mazngra ya mahusiano yenu? Ukijua majbu ya hayo maswali utajua nn ufanye, two weeks znatosha kujua.. Am out
  14. D

    Wanawake na vitambi

    Ha ha ha balimi lager ha ha ha ,tsha
Back
Top Bottom